Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Wanaanza kukuzoea jukwaani
Boom PM oh rafiki nakusabahi

Oh unaonekana uko charming sana kutokana na comments zako

Mara unapatikana wapi
Mmechat masaa ma3
Rafiki naomba nikuone ‘ unamwambia anza kutuma yako.
Anakwambia hii App ya jf inazingua picha haitoki [emoji1787] lete namba nikutumie wasap

Nipo kuangalia likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kuna ID Za kutongozea [emoji23][emoji23][emoji23]

Nacheka hapa Kama fala

Ila mwamba anatakaga kula wote!!
Anatamani atomber jukwaa zima yani...watu wanamzoom tu, wapo anaowabahatisha anawakula kote kote
 
Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza.

Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine.

Unamalizanaje naye.....unamkwepa? unamuignore au unaenda naye hadi mwisho?

Namwita akija napasua tena baada ya hapo nabadili tena id.
 
Wee nenda naye hadi mwisho... watu wanatongoza maghost, ngoja yaje kuwatokea ya kuwatokea.
Ila watu kwanini wanapenda kutongoza tongoza hovyo?
Tongoza ila unachokitaka, hukipati ng'oo [emoji41][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Mtu anaanzaje mpaka kuanza kutongoza ID ambayo unaweza kuta labda ni mkeo!
 
Me mmoja nilishindwa kuvumilia nikamwambia
Akasema ninyamaze
Na nimenyamaza hadi sahii

Sometimes namuonaga anavyojilike
Nachekaaaaa
Napita hivi

Kwa ID nyingine!? Aisee, sasa ID tuu inatongozwa, yaani hata kujua unakutana n wife/husband…
 
Either anakupenda kweli umemvutia kwa mara nyingine, au ni kitombi anatongoza tu kila mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom