Kwani kila anae leta mada humu lazima zimuhusu yeyeSasa mbona hii Ni ID ya kiume? Unatuchanganya
Inawezekana mke wake ndiyo ameandika uzi....ili mumewe akifungua jf akute ushauri na kichamboSasa mbona hii Ni ID ya kiume? Unatuchanganya
😂😂Inawezekana mke wake ndiyo ameandika uzi....ili mumewe akifungua jf akute ushauri na kichambo
🤣🤣🤣🤣🙌Kwa nini umemuoa kijana wa watu???
Shida hii imechochewa na 50/50Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Mi ninachojua kazi kubwa ya mwanaume ni kumpenda mkewe na kuhudumia ndio vitu pia vinavyoonesha upendo au kuna namna nyingine mimi sijui unielekeze?Kwayo wewe uliolewa ili uhudumiwe?