Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

jackhan

Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
11
Reaction score
57
Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.

Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.

Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
 
Ulifungaje ndoa na wa hivi na wewe? Hata mahari aliweza kumudu?

Wenzio wa hivi tunawafanya mchepuko wa kudumu kama kweli tunampenda na shughuli anaiweza. Tunaolewa na family man, responsible man, baba mjengo, baba mwenye nyumba!
 
20240724_193819.jpg

INAUMA LAKINI SI SANA. VUMILIA DADA
 
Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.

Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Shida hii imechochewa na 50/50
 
Back
Top Bottom