Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

Amesoma Ana Elimu anasubiri kazi?

Je Kama hafanyi kazi kwamba hajapata au hataki kazi kabisa?

Anakunywa pombe je ni mlevi au anakunywa kaiwaida ?

Mmefunga ndoa je mna watoto?

Je umefatilia kujua hali yake ya Afya ya AKILI na mwili?

Je unahisi kumtangaza mitandaoni utapata majibu sahihi ?

Vipi kuhusu familia yake umejaribu kuongea nao.


Je unachoumia ni wewe kumuhudumia mwanaume ambaye ni jobless au kumuhudumia mwanaume ambaye ni mlevi na hataki Kazi ?


Ukijibu hayo maswali ntakusaidia na kukupa njia bora za kumfanya Mme wako apate kazi na kuacha pombe
 
Shemeji mvumioie mwamba akipata kazi atakutunza mpaka ushangae. Wanaume wa aina hii wakipata kazi wanakuwa makini sana kwenye utunzaji wa .familia zao.
Usimdanganye, huyu kapata slay kwini aliye na maumbile ya kiume. Amlee tu hana namna maana amemchagua mwenyewe. Mimi I hope tu mashine iwepo; Heri Nusu Shari!
 
Ana depression hata umlaumu vipi hawezi badilika bila msaada wa kitabibu .

Anahitaji msaada, Wanaume huwa wanafanya kazi na kupambana biła hata kushawishiwa na mtu isipokuwa kwa wachache ambao ni wavivu.

Kuna la zaidi ya unaloliona hapo mleta mada.
 
Ana depression hata umlaumu vipi hawezi badilika bila msaada wa kitabibu .

Anahitaji msaada, Wanaume huwa wanafanya kazi na kupambana biła hata kushawishiwa na mtu isipokuwa kwa wachache ambao ni wavivu.

Kuna la zaidi ya unaloliona hapo mleta mada.


.

Kumuhudumia MTU yeyote is blessings in disguise

Kujitoa kwa MTU in positive way is blessings too.

MTU yeyote anayelalamika kuwa amechoka kumuhudumia mwanaume au mwanamke anakuwa na Ana shida kichwani kwa kuamini maisha ni kula , kuvaa na kulala.

Ameonesha immaturity
(kakosa ukomavu wa akili na hisia )
 
Ulifungaje ndoa na wa hivi na wewe? Hata mahari aliweza kumudu?

Wenzio wa hivi tunawafanya mchepuko wa kudumu kama kweli tunampenda na shughuli anaiweza. Tunaolewa na family man, responsible man, baba mjengo, baba mwenye nyumba!
Igweeeeee 😹
Mwenyekiti mitano tena
 
Haya ya kweli kwa Tz maana ni Sheria
Screenshot_20240729_170430_Instagram~2.png
 
Back
Top Bottom