Mwanamke Kabla ya kulalamika mwanaume hakuhudumii je kabla hajakuoa alikuwa anafanya kazi? Au ni desperation Yako ya ndoa ndo ilikufanya uolewe ukiamini utambadilisha? Kama hakuwa na kazi kabla hajakuoa usimsumbue kijana wa watu hayo mambo uliyajua na ukakubali kuingia mkenge