Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

Hii ni zamu yenu kulea wanaume na kuwahudumia na kumuhudumia baba mkwe na mahari mtatoa

Msemo wenu wa tafuta hela -lazima uwarudie mtatatafuta sana hela
 
Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.

Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.

Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Mimi ni mwanaume ila ngoja nijibu hili swali Inategemeana na factors kama mbili hivi.

1. Mwanaume ni handsome na wanawake wengi wanaonesha kumtaka, ujinga wa mke utakuwa kumtunza ili asimpoteze wakati yeye anaumia.

2. Jamaa anajua show kweli kweli na mwanamke anahofia akimpoteza hatopata kama huyo.
 
Mkuu wewe hauwezi kwakuwa haujasimama vizuri financially.

Endelea kupambana utajipata

Kuna wenzio wanhudumia familia kubwa hadi ya baba mkwe.

Endelea kujitafuta
Hata ningesimama namna gani mwanaume asimame kwenye nafasi yake.Alafu sio ajabu kipindi mmewangu hajajipata alienda kusoma marekani kwa mda wa miaka miwili mbona nilitunza familia yake?ila kitu siwezi fanya eti mtu amekaa hapo alafu nimhudumie
 
Aaaaah 😁😁😁

Sometimes mambo hubadilika Kama umeolewa na mme wako ndo bread winner mshukuru Mungu

Kuna wanawake wengi wanahudumia familia na baba mkwe na mama mkwe wanahudumia kupitia huo mshahara wako.

Ndo maana vijana wanaogopa kuoa broke women ubao umegeuzwa
 
Aaaaah [emoji16][emoji16][emoji16]

Sometimes mambo hubadilika Kama umeolewa na mme wako ndo bread winner mshukuru Mungu

Kuna wanawake wengi wanahudumia familia na baba mkwe na mama mkwe wanahudumia kupitia huo mshahara wako.

Ndo maana vijana wanaogopa kuoa broke women ubao umegeuzwa
Unatuenjoy wewe hamna muhaya legelege wa hivyo
 
Aisee watu tofauti sana
Yaani mimi hata nikiwa holiday bado nitatafuta kitu cha kufanya hata voluntarily
Lakini kukaa kihasara hell [emoji107]
Na mmewangu navyomuona hata hamu ya ya mapenzi hawezi kupata,yaani eti akae ndani atunzwe?nguvu za kiume zitapotea automatic sasa sijui itakuwaje
 
Mi ninachojua kazi kubwa ya mwanaume ni kumpenda mkewe na kuhudumia ndio vitu pia vinavyoonesha upendo au kuna namna nyingine mimi sijui unielekeze?
Kazi kubwa ya mwanamke ni nini?

Kwani labda utueleweshe
 
Unatuenjoy wewe hamna muhaya legelege wa hivyo

😁😁

Hizi mambo nimeanza kuziona Bukoba hasa Maaskari na walimu wanahudumia Sana familia zao na kujenga ukweni.

Binafsi Mimi siungi mkono Ila haya mambo yapo

Wanawake wakipenda na akiwa na kaposho anajitoa ufahamu
 
kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Hajasoma, hana vyeti, hana kazi na pombe anakunywa?

Mlipokuta kabla ya kufunga ndoa alikuwa na kazi?

Ulikubali kuishi naye ukijua hana vyeti wala ajira, iweje leo uje kulialia JF?

Mama, huo ni mzigo wako pambana nao mwenyewe maana wakati unamkubali sisi hatukuwepo wala hukuomba ushauri kwetu.
 
Acha uongo yaani unakaa na mwanaume ndani hapambani,unakuwa unafanya biashara gani,utamsadia mtu unaona kweli kakwama na anaendelea kupambana.
Nikukumbushe tu ni ngumu mwanamke kubeba majukumu ya mwanaume na familia ikabaki salama,nature ni nature tu
Kusudi la movement ya usawa ni nini ?
 
Ulifungaje ndoa na wa hivi na wewe? Hata mahari aliweza kumudu?

Wenzio wa hivi tunawafanya mchepuko wa kudumu kama kweli tunampenda na shughuli anaiweza. Tunaolewa na family man, responsible man, baba mjengo, baba mwenye nyumba!
Duu!
 
Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.

Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.

Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Wewe huyo kakusaidia umejipata saivi kakwama yeye unataka kumpiga chini
 
Huyo mumeo ana depression,Kuna jambo limemkumba limemuondolea courage na confidence.
Kama Mke ulitakiwa ujue ni jambo gani linalomsibu,hiyo hali sio ya Kawaida.
Hata wavivu na wasiokuwa na vyeti hutafuta namna yoyote ya kuingiza kipato,hata kama ni kidogo.
Huyo wako anapata wapi Hela ya luxuries kama Pombe!
Mpaka umefika kumlalamikia hapa,maana yake huyo umeshamchoka.Achaneni tu Kila mtu afanye yake.
 
Back
Top Bottom