S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
Lakini mbona kila siku utasikia mume hatoi matunzo… sijawahi sikia wanaume nao wakilalamikia wake zao kutotoa Matunzo… siku zote ni akina mama… hili limekaaje? Hata kutokufika kileleni, nalo ni mme… hii imejaaje?Ndoa ni kila mtu kujitahidi kadri ya uwezo wake kwa uwezo aliopewa na Mungu kuchangia maendeleo ya familia.
Kama mmoja anakunywa tu pombe January to December teamwork iko wapi?