Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaloa vizuri sana labda awe katili. Wewe you are just assuming kwamba tunaoana na anyone with money, hapana labda uwe umefika dakika za majeruhi huko na hujapata mtu! Tunaoana na wanaume tuliowapenda, wanaotusisimua, wanaotupa raha lakini wawe responsible men wenye uwezo wa kulea familia.Hadi ephen kakucheka, kupenda ninayoongelea mimi ni ile raw sexual desire, huyo mume anaekutimizia mahitaji yako huenda unampenda kama rafiki au ile sababu umemzoea, ila ukimuona papuchi hailoi Zurie
Wakat anakutongoza na kupalilia penz ww ukaji sahau kuwa kuna maisha baada ya mapenz kuna kubeba ujauzto then familia ukajsau kumshaur awekeze kweny vtu vya msing ukabak tu kumenya maisha sasa na w lipa fadhila kwa kumlea na watt wake ndy maishaYani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Explain this, huyu Joyce anawakilisha wanawake wengi walioolewa, hata Mzigua90 kwenye moja ya uzi wake alishaliongelea hilo humu jf ZurieInaloa vizuri sana labda awe katili. Wewe you are just assuming kwamba tunaoana na anyone with money, hapana labda uwe umefika dakika za majeruhi huko na hujapata mtu! Tunaoana na wanaume tuliowapenda, wanaotusisimua, wanaotupa raha lakini wawe responsible men wenye uwezo wa kulea familia.
This does not mean hatujawahi kuwapenda wengine before; this does not mean hatutopenda wengine after!
Moyo in reality hauko that exclusive.
mimi siwezi relate na Joyce maana namshukuru Mungu sio kwamba sina kipato au nina uhitaji wa pesa wa kunifanya niolewe na yeyote. Na nilipokuwa nazungumzia wanawake pia sikuwa nazungumzia walio kwenye shida, nilimaanisha mwanamke ambaye maisha yake yanaenda tu with or without a man.Explain this, huyu Joyce anawakilisha wanawake wengi walioolewa, hata Mzigua90 kwenye moja ya uzi wake alishaliongelea hilo humu jf Zurie
View attachment 3056789
Fungua code hiyona shughuli ananaiweza
Wewe ni mwanamke au ni shoga ?Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Nyote akili zenu zinafanana tu.Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Tuendelee kuwafungulia code wanaume wenzetu.Yale yale tunayoongea humu, female dual mating strategy, alpha fucks, beta bucks
Inauma sana, unaoa mwanamke ukidhani anakupenda kumbe hana hisia na wewe, ni kwamba kakukubalia sababu tu chaguo lake halieleweki, so ameona wewe ndo second option ya kumalizia nae uzee 😭
Natafuta Ajira Zemanda Extrovert Equation x
😀😀😀😀😀😀Inawezekana mke wake ndiyo ameandika uzi....ili mumewe akifungua jf akute ushauri na kichambo
Mwanaume anaposema anakupenda... unajuaje kama anamaanisha?Inaloa vizuri sana labda awe katili. Wewe you are just assuming kwamba tunaoana na anyone with money, hapana labda uwe umefika dakika za majeruhi huko na hujapata mtu! Tunaoana na wanaume tuliowapenda, wanaotusisimua, wanaotupa raha lakini wawe responsible men wenye uwezo wa kulea familia.
This does not mean hatujawahi kuwapenda wengine before; this does not mean hatutopenda wengine after!
Moyo in reality hauko that exclusive.
That is none of my business if anamaanisha or not. What matters ni matendo yake. Does he provide and protect as a man should?? Mapenzi yanayotumika kwenye ndoa ni yangu niliyonayo kwake.Mwanaume anaposema anakupenda... unajuaje kama anamaanisha?
pesa ya kunywa pombe anaitoa wapi au unampa wewe??Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Sawa mkuuThat is none of my business if anamaanisha or not. What matters ni matendo yake. Does he provide and protect as a man should?? Mapenzi yanayotumika kwenye ndoa ni yangu niliyonayo kwake.