Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Umekubalije kuolewa naye? Ulipitia kipindi cha uchumba kumjua vizuri? Mlipanga ndoa yenu itakuwaje?Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?