Hivi unawezaje kudeal na mwanamke mwenye dharau, majivuno, kiburi na kujisikia akiwa kama mwanamke wako?

Hivi unawezaje kudeal na mwanamke mwenye dharau, majivuno, kiburi na kujisikia akiwa kama mwanamke wako?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Najua humu wapo wanaJF waliowahi kukutana na aina hii ya wanawake ambao wenye vi tabia vya kiburi, dharau, kujisikia na majivuno either kutokana uzuli wao, kazi au anayoifanya n.k vinavyomfanya awe hivyo.

Hebu tupeane ni jinsi gani ya kudeal na aina hii ya wanawake ambao hutupa changamoto mpka mtu unatamani kukimbia nyumba umwachie kila Kitu au muachane tuu ili ubaki na amani.
 
Mkuu kwann uteseke kwa mchezo uliouchagua mwenyewe.!?

Maisha sio kuvumiliana... Kama mtu ana dharau, kiburi na wewe unaona havikupi raha yafaa nini kuendelea kukaa na huyo ibilisi..?????

Tupo duniani kula raha,, so kama kitu hakikupi furaha na wewe ndio ulikichagua ina maana gani.??
Tafuta hela kula maisha... Mapenzi yasizidi akili..

Mapenzi uFalla sana sometimes..

Thank me later.
 
Mkuu mwanamke wa hivyo ni changamoto, inawezekana hata amepitia malezi mabovu, hivyo ni ngumu sana kumshape mwanamke wa aina hiyo.
Cha msingi kwa maisha ya sasa ni bora kutulia kwa makini na kumshirikisha M/Mungu, katika suala zima lakupata soulmate.
 
Dah mtu akiwa kiburi, mimi huwa mara 6 yake...sibabaikii uzuri wala kazi ya kiumbe yeyote anaeitwa mwanamke! Hueleweki, off you go, nanyenyekea wazazi na pesa tu hata kuvipigania inapobidi! Mkuu kumbuka mwanamke sio ndugu yako ni mshirika wa maisha, maana yake lazima mfurahie muunganiko wenu, otherwise hamna mtu hapo! Mimi nshamwambia wife pale ambapo atabadilika na kuwa kero badala ya furaha tutaishia hapo.
 
Back
Top Bottom