Captain Jangs
Member
- Aug 5, 2024
- 10
- 8
Daa apo kwenye akikusoma akijua umejaa apo ndo balaa zito lazima akuue kama hutaondoka mapemaMkuu ni ujinga sana kuuza furaha yako kwa mtu/vitu...wife pisi ila cjawahi na sifikirii kumuonyesha kwamba siwezi ishi bila ya yeye, mimi mwanamke atakapoacha kuwa chanzo cha furaha, msimamo wangu huwa sijali mtoto cjui mdogo wala nyumba sijui nini, naanza upya kuitafuta furaha sehemu nyingne! Usiweke furaha yako hovyo kwa sababu ya sijui uzuri, kazi au vitu mlivyochuma as long as mzima na unaweza tafuta vingine! Mwanamke akishakusoma na akajua umejaa, atakuumiza!