Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Uliacha akazoea hiyo tabia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku ukirogwa ukapotea njia ya nyumbani kwako utakumbuka maneno yangu.Dah mtu akiwa kiburi, mimi huwa mara 6 yake...sibabaikii uzuri wala kazi ya kiumbe yeyote anaeitwa mwanamke! Hueleweki, off you go, nanyenyekea wazazi na pesa tu hata kuvipigania inapobidi! Mkuu kumbuka mwanamke sio ndugu yako ni mshirika wa maisha, maana yake lazima mfurahie muunganiko wenu, otherwise hamna mtu hapo! Mimi nshamwambia wife pale ambapo atabadilika na kuwa kero badala ya furaha tutaishia hapo.
Hakuna kurogwa wala nn,mimi mwaka juzi nimemwacha wife talaka tatu,nina nyumba 2 za maana na nimejenga nae,nimezaa nae watoto 4,amehangaika kuanzia polisi hadi ustawi wa jamii hajaambulia chochote,ameroga mpaka amechoka,amesaidiwa familia yake mtu zaidi ya thelathini kuroga na kisoma albadr mie nipo nawachora tu,tena yy chimbuko lake ni wachawi lakini wameshindwa wameishia kuniita Freemason kwa sababu kwa jinsi walivyohangaika na wakiniona niko mtaani nadunda wanaishiwa pozi.siku ukirogwa ukapotea njia ya nyumbani kwako utakumbuka maneno yangu.
Mke hasa wa bongo Hii nayoijua ke anataka kile bora ulicho nacho wewe.
Kumzalisha vitoto vizuri vizuri vile
elimu yako.
kazi yako.
pesa yako.
nyumba yako.
masofa yako na
jiko lako la kisasa hilo. Unspikia upepo tena wa nje. Una meza za ku slide wewe fikiria upya.
Sasa leo umpige chini tena ghafla hivi... Ke amezoea kupikia sehemu safi tena huku amesimama huku ana angalia tv. Leo ghafla havipo unataka arudi kwao msamvu weeee!!! Akaanze moja. Bibi ake anaangalia tu?,?
Jifikirie sana kabla ya maamuzi. Vita yake si ya nchi hii
Kwanza hataamini ni akili yako hilo pambano lake tu si la nchi hii.
Ke anaachwaga nyumba za kupanga hizi tena unamkimbia kisiasa km unaenda kazini ila ndo jumla unamuachia koti linaninginia ukutani.
na kazi unaacha.akienda ulizia anaambiwa una miezi sita huonekani kazini ukimpata wajulishe na wao!!unapotelea jijini bwii
Sasa eti unejenga mjengo wa mamilioni weee!!! Huchomoki labda uwe mchawi sana umroge afe.
FaxsDah mtu akiwa kiburi, mimi huwa mara 6 yake...sibabaikii uzuri wala kazi ya kiumbe yeyote anaeitwa mwanamke! Hueleweki, off you go, nanyenyekea wazazi na pesa tu hata kuvipigania inapobidi! Mkuu kumbuka mwanamke sio ndugu yako ni mshirika wa maisha, maana yake lazima mfurahie muunganiko wenu, otherwise hamna mtu hapo! Mimi nshamwambia wife pale ambapo atabadilika na kuwa kero badala ya furaha tutaishia hapo.
Haaa!!! Mkuu basi una undugu na shetani.ila iko. Siku utaondoka ghafl a bin vuuup!! mke anarudi kumiliki kiulainiii hawachokagi hao.Hakuna kurogwa wala nn,mimi mwaka juzi nimemwacha wife talaka tatu,nina nyumba 2 za maana na nimejenga nae,nimezaa nae watoto 4,amehangaika kuanzia polisi hadi ustawi wa jamii hajaambulia chochote,ameroga mpaka amechoka,amesaidiwa familia yake mtu zaidi ya thelathini kuroga na kisoma albadr mie nipo nawachora tu,tena yy chimbuko lake ni wachawi lakini wameshindwa wameishia kuniita Freemason kwa sababu kwa jinsi walivyohangaika na wakiniona niko mtaani nadunda wanaishiwa pozi.
Mle 0716Najua humu wapo wanaJF waliowahi kukutana na aina hii ya wanawake ambao wenye vi tabia vya kiburi, dharau, kujisikia na majivuno either kutokana uzuli wao, kazi au anayoifanya n.k vinavyomfanya awe hivyo
Hebu tupeane ni jinsi gani ya kudeal na aina hii ya wanawake ambao hutupa changamoto mpka mtu unatamani kukimbia nyumba umwachie kila Kitu au muachane tuu ili ubaki na amani.
Hahaha dharau itatoka kama moshi kwenye pipeMpelekee Motoo
na ujiandae hasa kumuacha yaani kimwili na kiroho! Ukijua tabia mbaya umeiona Wewe.Unatakiwa umuache
Ni umelewa au umevuta bangina ujiandae hasa kumuacha yaani kimwili na kiroho! Ukijua tabia mbaya umeiona Wewe.
Yeye hayo hayajui anaamini anaonewa tu! Una lako jambo!!
Atapambania maisha yake na watoto wake!! Hata ukimuachia nyumba atakufuata tu popte ulipo.
Usicheze na ke wewe.labda uwe mbaya sana. Au uwe mchawi sana tena wa ukoo mzima. Apo kidooogo utapata nafuuu lkn sijui eti wewe ni mtoto wa quater heee! Thubutu....
Nasema utaimba nyimbo usizozijua. hivi unacheza na maisha ya mtu umemgeuza geuza weeee hafu eti ondoka nyioo?? Haya wkt weye mweupe peee!! na yesu wako huyo wa vatican.
Jaribu uone moto!! Km hujala majani km mbuzi
Wachezee hao hao nakwambia utaingia paspo ingirika ambapo ukishaoa umejisajili maisha ila ogopa sana chaga pipo!!!
Hawa wanakuua kwa ushirikiano wao wote ila watoto sawa!!
Najua humu wapo wanaJF waliowahi kukutana na aina hii ya wanawake ambao wenye vi tabia vya kiburi, dharau, kujisikia na majivuno either kutokana uzuli wao, kazi au anayoifanya n.k vinavyomfanya awe hivyo
Hebu tupeane ni jinsi gani ya kudeal na aina hii ya wanawake ambao hutupa changamoto mpka mtu unatamani kukimbia nyumba umwachie kila Kitu au muachane tuu ili ubaki na amani.
Na wewe jivune.jisikie.mdharau km hivi akikupa papuchi tu wewe funika pua den ondoka zako! Dawa ya moto ni moto.Najua humu wapo wanaJF waliowahi kukutana na aina hii ya wanawake ambao wenye vi tabia vya kiburi, dharau, kujisikia na majivuno either kutokana uzuli wao, kazi au anayoifanya n.k vinavyomfanya awe hivyo
Hebu tupeane ni jinsi gani ya kudeal na aina hii ya wanawake ambao hutupa changamoto mpka mtu unatamani kukimbia nyumba umwachie kila Kitu au muachane tuu ili ubaki na amani.
yote hapo juu A na B ni sahihi.Ni umelewa au umevuta bangi
Nakukubaliana nawe mkuu ukijenga nae inakua shida...ila mimi nipo tofauti, mwanamke nlie zaa nae ikitokea naachana nae namuacha yeye kwenye nyumba, mimi nnachotafuta ni furaha yangu sio nyumba mkuu...kama yeye nyumba/mali ndio tafsiri ya maisha kwake, mimi furaha na amani ndio maisha kwangu! Mtu anaeitwa mwanamke hawezi niletea jeuri eti kwa sababu kuna nyumba..mim sijali naondoka mimi naacha mwanangu akae na wala sio tatzo!siku ukirogwa ukapotea njia ya nyumbani kwako utakumbuka maneno yangu.
Mke hasa wa bongo Hii nayoijua ke anataka kile bora ulicho nacho wewe.
Kumzalisha vitoto vizuri vizuri vile
elimu yako.
kazi yako.
pesa yako.
nyumba yako.
masofa yako na
jiko lako la kisasa hilo. Unspikia upepo tena wa nje. Una meza za ku slide wewe fikiria upya.
Sasa leo umpige chini tena ghafla hivi... Ke amezoea kupikia sehemu safi tena huku amesimama huku ana angalia tv. Leo ghafla havipo unataka arudi kwao msamvu weeee!!! Akaanze moja. Bibi ake anaangalia tu?,?
Jifikirie sana kabla ya maamuzi. Vita yake si ya nchi hii
Kwanza hataamini ni akili yako hilo pambano lake tu si la nchi hii.
Ke anaachwaga nyumba za kupanga hizi tena unamkimbia kisiasa km unaenda kazini ila ndo jumla unamuachia koti linaninginia ukutani.
na kazi unaacha.akienda ulizia anaambiwa una miezi sita huonekani kazini ukimpata wajulishe na wao!!unapotelea jijini bwii
Sasa eti unejenga mjengo wa mamilioni weee!!! Huchomoki labda uwe mchawi sana umroge afe.
Ila mkuu hapo mimi ningekua tofauti na wewe, ningemuachia wife na watoto nyumba moja na wala sitamsumbua! Huo ubinafsi mkuu kama amekuzalia watoto 4 afu inafikia hadi akakuroge ndio apate kitu!Hakuna kurogwa wala nn,mimi mwaka juzi nimemwacha wife talaka tatu,nina nyumba 2 za maana na nimejenga nae,nimezaa nae watoto 4,amehangaika kuanzia polisi hadi ustawi wa jamii hajaambulia chochote,ameroga mpaka amechoka,amesaidiwa familia yake mtu zaidi ya thelathini kuroga na kisoma albadr mie nipo nawachora tu,tena yy chimbuko lake ni wachawi lakini wameshindwa wameishia kuniita Freemason kwa sababu kwa jinsi walivyohangaika na wakiniona niko mtaani nadunda wanaishiwa pozi.
Daaa!!! Mkuu wewe mzungu au mwafrica??Nakukubaliana nawe mkuu ukijenga nae inakua shida...ila mimi nipo tofauti, mwanamke nlie zaa nae ikitokea naachana nae namuacha yeye kwenye nyumba, mimi nnachotafuta ni furaha yangu sio nyumba mkuu...kama yeye nyumba/mali ndio tafsiri ya maisha kwake, mimi furaha na amani ndio maisha kwangu! Mtu anaeitwa mwanamke hawezi niletea jeuri eti kwa sababu kuna nyumba..mim sijali naondoka mimi naacha mwanangu akae na wala sio tatzo!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa akijua hilo mkuu lazima aniheshimu ili aendelee kula raha..mwanaume hapendwi bali uheshimiwa, mwanamke asipokuheshimu hamna tena maisha hapo. Ila mim mwanamke ambae amenizalia simfukuzi kwenye nyumba as long as ana mtoto wangu mkuu! Mkuu unajisikiaje unaachana na mama yao halafu mtoto/watoto wako wakalale kwenye visebule ya watu huko? Mim hiyo hapana, kama zipo mbili namuachia moja..kama kamoja mimi naenda anza life upyaDaaa!!! Mkuu wewe mzungu au mwafrica??
Nyumba zetu hizi za mawazo duuu!!
Lkn pia jua km kwa machejo ulikuwa vizuri ke huwaga hawakubali kuachia kirahisi.
Km ulikuwa unakokotoa mpaka na fuse zinakata na vijambo visvoeleweka juu!!!
thubutuuu!!
Ke atakula na weye sambamba tu.taka usitake labda uwe jichawi. Atakwambia hata kwetu tuna nyumba tena nzuri zenye maeneo ya kutosha, ukuje hapa.
Kuna mmoja bana alikuwa hivo kumbe ana mpango wa kuniacha kapata basha mwingine.Nilichofanya nilimuacha nikamblock kabla ya kutekeleza shambulizi lake.Moyo wenyew nnao mmoja tena uanze kuuletea tafran bana.