hapana mkuu kuna wanawake ile mmekutana hata hakufahamu uchumi wako ila nyodo,mbwembwe na dharau anakuoneshaTafuta hela, story za kudharauliwa na upuuzi mwingine ni story za watu wasio na hela.
Wewe ukoje dada?Pengine huyo huyo anaekufanyia kiburi, dharau, majivuno nk, kuna sehemu anapanyenyekea, very obidient na anaonekana best woman, jitafakari na utafute ambae anakuthamini
Sio lengo la thread kujadili mimi nikojeWewe ukoje dada?