Hivi unawezaje kudeal na mwanamke mwenye dharau, majivuno, kiburi na kujisikia akiwa kama mwanamke wako?

Aisee umeongea vitu vya maana sana
 
Aisee umeongea vitu vya maana sana
Mkuu ni ujinga sana kuuza furaha yako kwa mtu/vitu...wife pisi ila cjawahi na sifikirii kumuonyesha kwamba siwezi ishi bila ya yeye, mimi mwanamke atakapoacha kuwa chanzo cha furaha, msimamo wangu huwa sijali mtoto cjui mdogo wala nyumba sijui nini, naanza upya kuitafuta furaha sehemu nyingne! Usiweke furaha yako hovyo kwa sababu ya sijui uzuri, kazi au vitu mlivyochuma as long as mzima na unaweza tafuta vingine! Mwanamke akishakusoma na akajua umejaa, atakuumiza!
 
Ukishaona unadharaulika sehem ujue kuna sehem ile heshima imepelekwa
Yes na ndio kawaida ya mwanamke! Mwamba aachane tu huyo shemeji, mbona tushaachika sana na tunadunda na kupata wakali zaidi
 
Basi hujapenda mkuu kutoka moyoni
Asikwambie mtu mapenzi yanafedhehesha sana unaeza ukawa na mapesa lakini ukadharaulika na kitu kimoja tuu "MAPNZI"
 
Basi hujapenda mkuu kutoka moyoni
Asikwambie mtu mapenzi yanafedhehesha sana unaeza ukawa na mapesa lakini ukadharaulika na kitu kimoja tuu "MAPNZI"
Hahahha mkuu nampenda sana mke wangu ila mapenz ya kuhisi cwezi ishi bila ya huyo nimpendae sina, au unaniletea upuuzi eti nampenda. Dah hiyo nawaachia wengine! Mim napenda sana mkuu na huwa nakaa na mwanamke mmoja tu huyohuyo, ila asinizingue! Hapa simaanishi kutokukosana kauli, hii inatokea lakini sio dharau au kiburi kwa kigezo cha uzuri au kazi yake, kwangu no
 
Ila amini hivyo mkuu kuna wenzako kazi haziendi kisa Prisca kabadilika hataki pokea simu, kuna wenzako masomo hayaendi kisa mwajuma kamwambia mimi nawewe basi, kuna wenzako kwasasa wanashindia mipombe tuu kisa wametengwa

"LOVE IS POWER"
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila amini hivyo mkuu kuna wenzako kazi haziendi kisa Prisca kabadilika hataki pokea simu, kuna wenzako masomo hayaendi kisa mwajuma kamwambia mimi nawewe basi, kuna wenzako kwasasa wanashindia mipombe tuu kisa wametengwa

"LOVE IS POWER"
Ni kweli kabisa, kuna kiumbe kinanitesa balaa kimeenda Tanga halafu hakipokei simu, hapa nilipo nina siku mbili sijapata usingizi kwa mawazo.

Haki ya nani acheni, mapenzi ni Changamoto.
 
We mpelekee moto ...
 
Unamuacha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…