Hivi unawezaje kudeal na mwanamke mwenye dharau, majivuno, kiburi na kujisikia akiwa kama mwanamke wako?

Daa apo kwenye akikusoma akijua umejaa apo ndo balaa zito lazima akuue kama hutaondoka mapema
 
Ndugu ni watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…