Dah! Haya kazi unayoUsiku inatakiwa unakula chakula kigumu
Ugali na viazi, pembeni makande
ili asubuhi uamke na nguvu
Ukishiba saba usiku asubui utaamka na bonge la njaa fuul utumbo kutetemekaUsiku inatakiwa unakula chakula kigumu
Ugali na viazi, pembeni makande
ili asubuhi uamke na nguvu
Kwenye involuntary action ubongo hautakiwi kuwa active. Kusinzia na kuchoka baada ya kula hutokana na post prandial brain hypoxia.Dinner ni mlo wa kutwa/mchana
Supper ni mlo wa usiku (umeandika ndivyo sivyo)
Chakula kikiwa tumboni lazima brain iwe wide awake ili kuratibu umeng'enyaji na usharabu (absorption) wa chakula kwenda kwenye damu na hatimaye kusafirishwa na kuhifadhiwa, huku taka & makapi yakichambuliwa na kutengwa ili yaondolewe mwilini. Simply put, the autonomic nervous system that performs involuntary functions of the body must be VERY ACTIVE in order to ensure these vital activities are smoothly carried out. Kwa hiyo ubongo hufanya kazi nzito wakati ulitakiwa uwe umepunguza functions kama hizi zisizo muhimu sana kwa mwili.
Naona unachanganya kati ya kusinzia na utendaji wa ubongo. Unapokula mchana, kwa mfano, ubongo huamishia nguvu nyingi kwenye kazi ya kuprocess chakula ndiyo maana concentration inapungua (kwa muda). Lakini haina maana ubongo haufanyi kazi. This is why inashauriwa baada ya mlo wa mchana upate mapumziko kidogo, tembea kidogo, "jinyooshe" ili mwili na ubongo upate uwanja na mazingira ya kushughulikia mapochopocho ya tumboni.
Conventional Formula ya Ulaji
1. MORNING BREAKFAST: EAT LIKE A KING
2. LUNCH/DINNER: EAT LIKE A PRINCE
3. SUPPER: EAT LIKE A PAUPER
All brain functions -- voluntary & involuntary are coordinated by the CNS, and there are specific parts za ubongo zinazoshughulikia kazi husika. It simply means the brain is well active when any of the countless body functions zinapokuwa zinaendelea.Kwenye involuntary actions ubongo hautakiwi kuwa active. Kusinzia na kuchoka baada ya kula hutokana na post prandial brain hypoxia. Hii inatokana na mzunguko wa damu kupungua kichwani na kuhamia tumboni kufanya umeng'enyaji na ufyonzaji na si kweli kuwa kusinzia kunatokana na ubongo kuwa bize na shughuli za tumboni. Halafu dinner ni chakula cha usiku, siyo mchana.
Kwenye voluntary na involuntary action ni wapi ubongo unatakiwa kuwa alert vilivyo? Kuna sababu za kuwa na involuntary actions kama kupumua na umengenyaji wa chakula. Vitu hivi haviupi ubongo kazi ngumu waka hauhitaji kuwa alert kiasi cha kumfanya mtu kuchoka na kupata usingizi. Kusinzia na kuchoka baada ya kula hakusababishwi na ubongo kuwa bize na shughuli za tumboni bali na brain hypoxia ambayo hutokana na damu nyingi kwenda tumboni.All brian functions -- voluntary & involuntary are coordinated by the CNS, and there specific parts za ubongo zinazoshughulikia kazi husika. It simply means the brian is well active when any of the countless body functions zinapokuwa zinaendelea.
Dinner --- is the main meal of the day; lunch.
Initially, ulisema "Kwenye involuntary action ubongo hautakiwi kuwa active." Sasa hivi unasema siyo active sana. "I don't know where Zuma is taking South Africa?" ~ Prof. PLO.Kwenye voluntary na involuntary action ni wapi ubongo unatakiwa kuwa alert vilivyo? Kuna sababu za kuwa na involuntary actions kama kupumua na umengenyaji wa chakula. Vitu hivi haviupi ubongo kazi ngumu waka hauhitaji kuwa alert kiadi cha kumfanya mtu kuchoka na kupata usingizi.
Pia dinner humaanisha evening meal.
Unaanza kuleta strawman arguments baada ya kushindwa kujibu hoja kuu. Wote tunajua involuntary actions kwa kiasi kikubwa ziko contolled na medulla oblangata. Haiwezi kucontrol kama ipo inactive. Lakini ubongo unavyokucontrol involuntary action hautumii nguvu yoyote ya maana ukilinganisha na inavyocontrol voluntary action kama kufikiri au kufanya hesabu.Initially, ulisema "Kwenye involuntary action ubongo hautakiwi kuwa active." Sasa hivi unasema siyo active sana. "I don't know where Zuma is taking South Africa?" ~ Prof. PLO.
Umetumia kigezo gani kusema invontary actions haziupatii ubongo kazi ngumu kama voluntary actions? Na mashaka na hiyo sayansi yako. Unadhani ubongo unakodinet functions mwilini kama dereva wa catapila anavyochange gia, siyo???
Sisi hatutaki mabishano tunataka majibu ya hoja.Unaanza kuleta strawman arguments baada ya kushindwa kujibu hoja kuu. Wote tunajua involuntary actions kwa kiasi kikubwa ziko contolled na medulla oblangata. Haiwezi kucontrol kama ipo inactive. Lakini ubongo unavyokucontrol involuntary action hautumii nguvu yoyote ya maana ukilinganisha na inavyocontrol voluntary action kama kufikiri au kufanya hesabu.
Swala la msingi ni wewe kupotosha kuwa mtu akila chakula ubongo unafanya kazi sana kushughulika na umenge'enyaji wa chakula na ndiyo sababu watu hulala na kuchoka baada ya kula. Haiko hivyo, hiyo ni physiology ya sanitarium clinics.
Unatakiwa kujua kwamba kufanya kazi kwa tumbo katika kumeng'enya chakula ni sawa na ubongo uko active unafanya kazi. Do you even know how much energy ubongo unatumia kukoodinet processing ya chakula tumboni hadi kinaposharabiwa kuingia kwenye damu??? Usiishi kwa kukariri. Mchakato huo ndio unaochosha ubongo. Msuli ya tumbo ikiwa fatigued, ubongo nao huwa na hali mbaya. Simple mathematics.Unaanza kuleta strawman arguments baada ya kushindwa kujibu hoja kuu. Wote tunajua involuntary actions kwa kiasi kikubwa ziko contolled na medulla oblangata. Haiwezi kucontrol kama ipo inactive. Lakini ubongo unavyokucontrol involuntary action hautumii nguvu yoyote ya maana ukilinganisha na inavyocontrol voluntary action kama kufikiri au kufanya hesabu.
Swala la msingi ni wewe kupotosha kuwa mtu akila chakula ubongo unafanya kazi sana kushughulika na umenge'enyaji wa chakula na ndiyo sababu watu hulala na kuchoka baada ya kula. Haiko hivyo, hiyo ni physiology ya sanitarium clinics.
Hiyo ni sayansi ya kugeussgeuss. Kwenye umeng'enyaji na ufyonzaji wa chakula ubongo haufanyi kazi ngumu na ndiyo maana damu inayoenda kwenye ubongo hupungua.Unatakiwa kujua kwamba kufanya kazi kwa tumbo katika kumeng'enya chakula ni sawa na ubongo uko active unafanya kazi. Do you even know how much energy ubongo unatumia kukoodinet processing ya chakula tumboni hadi kinaposharabiwa kuingia kwenye damu??? Usiishi kwa kukariri. Mchakato huo ndio unaochosha ubongo. Msuli ya tumbo ikiwa fatigued, ubongo nao huwa na hali mbaya. Simple mathematics.
Mababu zetu walikuwa hawana kazi za ofisini pfisini kukaa kwenye viyoyozi.Jiulize mababu zetu walitwanga dona na viporo waliishi miaka mia na upuuzii...
Nyie wala vitu laini laini mnaishi miaka mingapi?
Hivi night ukila nyama choma ukamalizia na K.vant glass moja kuna madhara bwana dr?Jiulize mababu zetu walitwanga dona na viporo waliishi miaka mia na upuuzii...
Nyie wala vitu laini laini mnaishi miaka mingapi?