Hivi usiku tunatakiwa kula chakula cha nguvu au chepesichepesi?

Sijajuaga hii ishu. Watu wengi wanasema usiku tule vyakula laini laini. Lakini kuna hii ishu.

Mtu akisha kula chakula damu nyingi inaelekea tumboni kusaidia ishu za umeng'enyaji na ufyonzaji wa msosi. Kitendo hicho hufanya damu inayoenda kwenye sehemu zingine kupungua. Damu inayoenda kwenye ubongo ikipungua mtu anaanza kujihisi uchovu.

Hii ndiyo sababu mtu akila chakula hasa chakula cha nguvu lazima aanze kuhisi usingizi.

Sasa tukila chakula cha nguvu mchana, muda wa kazi na kuanza kusinzia si inaharibu uzalishaji na umakini wetu.

Tukila usiku chakula cha nguvu na kuanza kusinzia na huo ni muda wa kulala, si ndiyo safi!!.

Nimefuatilia nchi za magharibi nimeona kuwa kwao dinner ni chakula cha muhimu sana cha siku. Kunakuwa na mapochopocho ya kutosha. Mchana wanarashiarashia tu.

Kuna sababu za kitaalamu za kusema tule msosi mlaini usiku?
Wasichokijuwa watu wengi asubuhi breakfast ndip inatakiwa upige breakfast ya nguvu, mchana unaeeza kula matunda na maji tu, na usiku isizidi saa moja piga msosi wowote ule unaopenda wa nguvu au mwepesi lakini iwe mapema, siyo unakula saa 4 usiku halafu unaingia kulala haitakiwi.
 
Kwani usiku ni kulala tu hakuna 'kazi' za nguvu? umezingatia nini mlamu!
 
Ukishiba saba usiku asubui utaamka na bonge la njaa fuul utumbo kutetemeka
Me nikila ugali au wali na mboga yoyote ikifika saa saba usiku nasikia njaa ya kufa mtu kama sikula kabisa

Tangu hali hiyo itokee niliacha kula vyakula vya wanga usiku.
 
All brian functions -- voluntary & involuntary are coordinated by the CNS, and there specific parts za ubongo zinazoshughulikia kazi husika. It simply means the brian is well active when any of the countless body functions zinapokuwa zinaendelea.

Dinner --- is the main meal of the day; lunch.
Rudia ulichoandika, halafu assume unamuelewesha mwanakijiji aliyeishia la nne. Tumia kiswahili pekee
 
Hiyo ni sayansi ya kugeussgeuss. Kwenye umeng'enyaji na ufyonzaji wa chakula ubongo haufanyi kazi ngumu na ndiyo maana damu inayoenda kwenye ubongo hupungua.
Your science is literally hopeless. I pity you. Hakuna function yoyote inayofanyika mwilini bila "go ahead" na usimamizi ama coordination ya CNS. Tatizo lako ni kudhani ubongo unaposolve infinitesimal calculus ama transcedentals ndipo unafanya kazi ngumu zaidi ya zile involuntary actions. Second, you almost seem to believe that functions nje ya ubongo (mathalani kwenye digestion process) haziratibiwi na CNS. Are you kidding???
 
It depends na economic status,Kama hauna uhakika wa kula kesho,it's better ule 'full package' so as asubuhi uamke na energy ya kutosha,Ila Kama una uhakika usiku ni gusa gusa tu mixer matunda kwa wingi[emoji39].
 
Your science is literally hopeless. I pity you. Hakuna function yoyote inayofanyika mwilini bila "go ahead" na usimamizi ama coordination ya CNS. Tatizo lako ni kudhani ubongo unaposolve infinitesimal calculus ama transcedentals ndipo unafanya kazi ngumu zaidi ya zile involuntary actions. Second, you almost seem to believe that functions nje ya ubongo (mathalani kwenye digestion process) haziratibiwi na CNS. Are you kidding???
Unarukaruka tu. Nimekwambia kuwa matendo yasiyo na hiyari huongozwa na medulla oblangata. Ngoja twende polepole labda utaelewa. Ili ubongo ufanye kazi unahitaji nishati na hewa ya oxygen. Vitu hivyo hupelekwa kwenye ubongo kupitia damu. Sasa nini kinatokea mtu akila na kushiba?
Tumbo ili limeng'enye na kufyonza chakula nalo linahitaji nishati na hewa ya oxygen, nazo hupelekwa na damu. Sasa ili liweze kufanya kazi yake damu nyingi sana inaenda tumboni. Kitendo hiki kinapunguza damu kwenye maeneo ambayo haihitajiki sana kama kwenye ubongo na kwingineko. Mambo yote haya huratibiwa na sehemu ndogo ya ubongo inaitwa medulla oblangata au brain stem.

Damu ikipungua kwenye ubongo na utendaji kazi wa ubongo hupungua. Hiyo ndiyo sababu mtu huchoka na kupata usingizi baada ya kula. Kwa kiingereza hii tunaita (post prandial brain hypoxia). Wewe kwa physiology yako ya sanitarium clinics unasema kuwa mtu akila chakula basi ubongo ndiyo unafanya kazi sana!?.
 
Nayo mambo waachieni wazungu.
Nilikula matunda na juisi nikqjikuta mzungu.
Nikalala

Kufika SAA 7 usiku niliamka nikasonga ugali mwenyewe
 
Teh teh teh 🤣🤣🤣 mjadala mzuri sana huu.

Ila Mimi ninapenda kula breakfast (kifungua kinywa) cha nguvu maana mchana huwa nagusa tu na huenda hata nisile kwa sababu ya mazingira ya kazi yangu.

Ila usiku lazima nisushe menu ya nguvu.

Sijajua nipo sahihi au la kiafya muhimu uzima tu.
 
Cha muhimu usiku ushibe vizuri .
Njaa ya usiku ndio Kali kuliko zote.

Otherwise utajikuta unahesabu mabati usiku mzima na kuanza kumkosoa fundi
 
Unarukaruka tu. Nimekwambia kuwa matendo yasiyo na hiyari huongozwa na medulla oblangata. Ngoja twende polepole labda utaelewa. Ili ubongo ufanye kazi unahitaji nishati na hewa ya oxygen. Vitu hivyo hupelekwa kwenye ubongo kupitia damu. Sasa nini kinatokea mtu akila na kushiba?
Tumbo ili limeng'enye na kufyonza chakula nalo linahitaji nishati na hewa ya oxygen, nazo hupelekwa na damu. Sasa ili liweze kufanya kazi yake damu nyingi sana inaenda tumboni. Kitendo hiki kinapunguza damu kwenye maeneo ambayo haihitajiki sana kama kwenye ubongo na kwingineko. Mambo yote haya huratibiwa na sehemu ndogo ya ubongo inaitwa medulla oblangata au brain stem.

Damu ikipungua kwenye ubongo na utendaji kazi wa ubongo hupungua. Hiyo ndiyo sababu mtu huchoka na kupata usingizi baada ya kula. Kwa kiingereza hii tunaita (post prandial brain hypoxia). Wewe kwa physiology yako ya sanitarium clinics unasema kuwa mtu akila chakula basi ubongo ndiyo unafanya kazi sana!?.
Kama ndiyo hivyo mbona usipige mboji ya kufa mtu baada ya heavy breakfast asubuhi???
 
Sisi tunaonyonyesha kula chakula kizito cha kushiba lazima la sivyo utatambaa kukifuata kilipo
 
Back
Top Bottom