pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
mbona mi sikuhelewe hiyo balance unamaanisha nini kwani ngara bukoba kigoma sio sehemu ya tanzania? kuna ubaya gani mtu kutokufanya kazi ikulu kisa ametokea maeneo hayo.
Ni makabila gani hayaruhusiwi kuwa wanausalama hapa Tz?
kikwete we need another operation kimbunga in your defence and security forces
u had come with a good topic, and people tried to provide their good opinion, lakini unabore kwa matusi yako, angalia kila anayechangia unamtolea matusi,anzia mwanzo wa thread mpaka mwisho utajidharau bure, unatukana tu, ok toa soln tutafanyeje kuwaondoa akina kinana hapo nec.
kwani wachaga SI raia WA nchi hii?not deserve respect?kura zao ccm hawazihitaji?jamani tuwache ubaguzi,ubaguzi haujengi Bali hubomoa,tafakari...Wachaga
Hao ndio watanzania ukiwapa issue ina scenario mbili lazima wakujibu kwa fikra ya scenario moja na ingine washindwe....kwani wachaga SI raia WA nchi hii?not deserve respect?kura zao ccm hawazihitaji?jamani tuwache ubaguzi,ubaguzi haujengi Bali hubomoa,tafakari...
Acha ubaguzi wanaofanya kazi ikulu wanafanyiwa upekuzi(vetting) wa kufa mtu
wachaga na wakurya.
Ndiyo uone kuwa Kikwete anacheza makilikili!
Waha ni watu makini Ikulu, hawatikiswi na tamaa wala wizi kama makabila flan. Kwa kutambua hvyo Hayat Baba wa Taifa aliwatumia sana waha, watu wa kusini, rukwa, mbeya na Iringa.