Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

mbona mi sikuhelewe hiyo balance unamaanisha nini kwani ngara bukoba kigoma sio sehemu ya tanzania? kuna ubaya gani mtu kutokufanya kazi ikulu kisa ametokea maeneo hayo.

Hujaelewa we mbulula soma hoja yake na utafakari kwanza kabla ya kuandika! tatizo unaonekana wewe ni MVIVU wa kufikiri!
 
u had come with a good topic, and people tried to provide their good opinion, lakini unabore kwa matusi yako, angalia kila anayechangia unamtolea matusi,anzia mwanzo wa thread mpaka mwisho utajidharau bure, unatukana tu, ok toa soln tutafanyeje kuwaondoa akina kinana hapo nec.

Umeongea point kujaribu kumuelewesha jamaa na kwa matusi yake lakini nawe hauko sawa kwani hujatoa hoja ya muhimu
 
nafikiri ni tatizo lakin linahitaji mtazamo wa serikali chanya yenye kutafakari TANZANIA ya miaka miambili ijayo
 
kwani wachaga SI raia WA nchi hii?not deserve respect?kura zao ccm hawazihitaji?jamani tuwache ubaguzi,ubaguzi haujengi Bali hubomoa,tafakari...
Hao ndio watanzania ukiwapa issue ina scenario mbili lazima wakujibu kwa fikra ya scenario moja na ingine washindwe....
 
huu mjadala haufanani na eneo hili maana hauna mwelekeo wa kisomi wala wa kichawi ni mada ya kuzuia fikra ya kibaguzi na ya aibu humu Jf
 
Wanaonyeshana u superiority,mzungu tunaechanganya maneno yake anatuona inferior,mkenya pia mtutsi yumo..jamani nina principle moja "every inferior race has a superior head" mwenzetu ametuonya vzuri dhidi ya divide and rule policy
 
Waha ni watu makini Ikulu, hawatikiswi na tamaa wala wizi kama makabila flan. Kwa kutambua hvyo Hayat Baba wa Taifa aliwatumia sana waha, watu wa kusini, rukwa, mbeya na Iringa.

Pia makabila haya wanajua sana kutunza siri, hata yale ambayo siyo siri wao hutunza!
 
Back
Top Bottom