Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakimbizeni ringina sisi wenye babyface tufanyeje😆
mwanaume mashine.Kakimbizeni ringi
si ndo sisi mnatuita 'fine boys' mnatuleaMnyongwe tu.😅
Wanawake hamjawahi kueleweka hata so mimi huwa sijipi stress kuwaelewa maana naweza kuwa na uchebe na bado ukaniona sifai.Shauri Yako we kaa na kakidevu chako keupe uone watavyopita na Hela zako halafu akabebishwe mwenye kauchebe😁😁
banned....Hivi Cute Wife aliendaga wapi?
ila ni sawa,Anza na muonekano wa nje basi,,kwani vimegoma kuota😁😁?
Ndio jambo ambalo.Pambana msimamo wako.