Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
- Thread starter
- #21
Uchafu wa ndevu unakuja pale ukiwa na matunzo mabovu,,.Mirefuuuu,rangi haileweki,ukila chakula vipande vinadondokea shabashhhhh ...Binafsi napenda mkaka atunze ndevu zake akinyoa kidevu kupata sipendi kabisaNdevu ndio urithi pekee mzee wangu kaniachia,mzee ana ndevu kama osama,.kwa wanawake wengine ndevu uchafu