Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini si wanapendeza bhana.....🤣🤣🤣🤣Yaani Hawa ndio wanaojiita wa donta,,,mjini kitambo Wana roll na fashion tu
Siwezi kupaka chochote kwenye nywele zangu, I wanna be kama Lowassa. Catalogue moja matata sana, binafsi ni heri mvi kuliko upara, uwalaza noma sana.Ila kichwani usiweke easy black sasa
Huo ushangazi unahitaji utundu ili ufaidi lejend 🤣🤣Mtatuua jamani wenzenu na Huo utundu wenu wa videvu🤣
Kabisa🤣🤣🤣🤣🤣Vipi anatudanganya?
Uchebe huoUchafu uhuuu
Tatizo wengi ndevu hawajui kutunza, inakua uchafu tyuuh.Ndevu ndio urithi pekee mzee wangu kaniachia,mzee ana ndevu kama osama,.kwa wanawake wengine ndevu uchafu
Mm natoa zoteeeUchebe huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jirani yangu ni mfupi alafu hana ndevu mtoto wangu nimemnunulia mpira juzi kati niliona hana mtu wa kucheza Nae nikaenda kumgongea mlango yule jamaa mke wake akafungua mlango nikamwambia amuamshe mume wake aje acheze na mtoto wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wife material nilikuwa nawaza REJESHO usingizi Sina[emoji12]
Una hoja, usikilizwee....ndevu ni taka mwili kama taka nyingne... Pga kidev upaa
Kwa hiyo unazitaka ziwepo au huzitakiUchafu wa ndevu unakuja pale ukiwa na matunzo mabovu,,.Mirefuuuu,rangi haileweki,ukila chakula vipande vinadondokea shabashhhhh ...Binafsi napenda mkaka atunze ndevu zake akinyoa kidevu kupata sipendi kabisa