Hivi videvu vya siku hizi

Hivi videvu vya siku hizi

images (8).jpeg
 
Kuna jirani yangu ni mfupi alafu hana ndevu mtoto wangu nimemnunulia mpira juzi kati niliona hana mtu wa kucheza Nae nikaenda kumgongea mlango yule jamaa mke wake akafungua mlango nikamwambia amuamshe mume wake aje acheze na mtoto wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom