Hivi videvu vya siku hizi

Hivi videvu vya siku hizi

Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..

Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi...

Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣

View attachment 2748516
Sisi tusiokuwa nazo tunasuburia fashion ipite tuanze kusumbua...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hapanaa, wanavumilia tyuuh ila zinawachubua huko.
In case una experience… zina balaa lake
IMG_1336.jpeg
 
Back
Top Bottom