Hivi videvu vya siku hizi

Hivi videvu vya siku hizi

Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..

Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi...

Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣

View attachment 2748516
Unakutana na kidevu ukikishika kinachoma utasena kimemea majani miba.
 
Wengine kumbe vilema [emoji38][emoji16]
FB_IMG_1694689512235.jpg
 
Back
Top Bottom