Dadamtu
JF-Expert Member
- Sep 10, 2023
- 502
- 1,093
Yaani mwanamke halafu hapendi?labda wanaume ndio hawapendiAcha niwe kihere here kujibu, ndio kuna wapo hawapendi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mwanamke halafu hapendi?labda wanaume ndio hawapendiAcha niwe kihere here kujibu, ndio kuna wapo hawapendi kabisa
Hapa tu nipo hoi mkuu🤣🤣Utafika umechoka sana mkuu🤣🤣
Wapo wasiopenda mkuu, hata kupima Oil tu kama imepanda hawapendi!!Yaani mwanamke halafu hapendi?labda wanaume ndio hawapendi
Hatari tupu nafikiri malaika watasaidia kukubeba ili ufike🤣🤣Hapa tu nipo hoi mkuu🤣🤣
100%Wapo wasiopenda mkuu, hata kupima Oil tu kama imepanda hawapendi!!
Eeeeeh, Kweli kila mtu na starehe zakeWapo wasiopenda mkuu, hata kupima Oil tu kama imepanda hawapendi!!
Wamesema wapo wasiopenda hata kupimwa oil.Anatania
Mpwa achana na haya majibizano wewe si wa hivyo.........Usitubu!!twende kazi we si unajifanya umevurugwa.
na sisi wenye babyface tufanyeje[emoji38]
Uchafu uliopitilizaUchafu uhuuu
Unakutana na kidevu ukikishika kinachoma utasena kimemea majani miba.Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..
Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi...
Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣
View attachment 2748516
Sijawai penda ule mwili wangu wa ukimbau mbau Kuna kipindi nilikutana na jamaa zangu tulio soma nao A_level..Asiwe na kitambi😅