Hivi videvu vya siku hizi

Hivi videvu vya siku hizi

Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..

Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi...

Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣

View attachment 2748516
Sasa mbona mnatuchanganya mara tutafute hela mara tuwe na ndevu mara tuwe na gari😢😢😢😢 tushike lipi sasa
 
Sasa mbona mnatuchanganya mara tutafute mara tuwe na ndevu mara tuwe na gari😢😢😢😢 tushike lipi sasa
Tafuteni Hela,halafu mnyoe vizuri videvu vyenu🤣
 
Tafuteni Hela,halafu mnyoe vizuri videvu vyenu🤣
Looh hela ninayo ila kazi yangu inanibana kuwa na ndevu sasa mwingine kaniambia niwe na gari 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Looh hela ninayo ila kazi yangu inanibana kuwa na ndevu sasa mwingine kaniambia niwe na gari 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapo kazi ipo
 
Ndevu nyingine zipo zipo km brush la chachandu hazina ushirikiano kabisaa!! 😂
 
Back
Top Bottom