Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Sasa mbona mnatuchanganya mara tutafute hela mara tuwe na ndevu mara tuwe na gari😢😢😢😢 tushike lipi sasaMuwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..
Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi...
Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣
View attachment 2748516