Hivi vigari vidogo vidogo vichafu vichafu vya zamani kama hasa IST na VITZ madereva vijana hawa wanafanya fujo sana barabarani

Kuna mambo mengine ukiwa km mwanaume unajidhalilisha kuja navyo kwa wanaume wenzio, hivi unaanzaje kukosoa size ya dick ya wanaume wenzio kisa chapisho je wewe umeprove hilo sometimes kias cha kuja kukomaza fuvu hapa ficha funza zako kichwani.
1729669175376.png

Hizo ni research za wanasayansi au wana saikolojia wewe, hazifanywi kwa lengo la kumdhalilisha au kukosoa maumbile ya mtu. Ni vitu vya kawaida katika ulimwengu wa watu waliosoma. Ungefika level ya angalau masters degree ungeelewa. Kuniambia kama mimi nime-prove hilo ni kuonyesha upeo mdogo wa elimu yako.

Kwa hiyo hawakuandika kwa kukudhalilisha mkuu. Usihofu, your size does not matter.
 
View attachment 3133234

Hizo ni research za wanasayansi au wana saikolojia wewe, hazifanywi kwa lengo la kumdhalilisha au kukosoa maumbile ya mtu. Ni vitu vya kawaida katika ulimwengu wa watu waliosoma. Ungefika level ya angalau masters degree ungeelewa.

Kwa hiyo hawakuandika kwa kukudhalilisha mkuu. Usihofu, your size does not matter.
Kwahiyo nawewe unakuja nalo hapa utuminishe hivyo yan bora ungeongea kuhus hizo fujo za hao baadhi ya wanaomiliki hizo starlet au aliteza true tunaona barabarani fujo zao lakin umeenda deep et wanaomiliki v8 wanavibamia mkuu kuna vitu vinafikirisha ukiongea mtoto wa kiume mbele ya hadhara kisa research how did you prove it ww km ww
 
Hee, una mdomo mwingine unaotumia kula chakula?

Wewe utakuwa unaendesha IST ya dada yako aliyopewa na shemeji yako. Halafu sasa, unaweza kukuta mimi ndio huyo shemeji yako. Sasa wapi heshima yangu ya kukutunzia dada yako na kukufanya angalau uwe na gari ya kuendesha mara moja moja unapoenda kuiosha au ukitumwa sokoni na dada yako?
Sasa wewe mzee gani maneno kabao kuliko hata shangazi zako?
 
View attachment 3133234

Hizo ni research za wanasayansi au wana saikolojia wewe, hazifanywi kwa lengo la kumdhalilisha au kukosoa maumbile ya mtu. Ni vitu vya kawaida katika ulimwengu wa watu waliosoma. Ungefika level ya angalau masters degree ungeelewa. Kuniambia kama mimi nime-prove hilo ni kuonyesha upeo mdogo wa elimu yako.

Kwa hiyo hawakuandika kwa kukudhalilisha mkuu. Usihofu, your size does not matter.
Maongezi hayana mipaka mtaenda wapi ndio maana hilo haliko kwenye thread. Kuna watu humu wameanza kuongea kulipana ili kufaana. Sasa mbona hili limekuvuta sana? Nadhani wewe unacho kimoja mbona umegusika sana? Nimesema isikutie hofu, tafuta namna nzuri ya kukipika, chachando, nazi, pilipili kidogo, binzari ya Kongo, na utaona utamu wake!
 
Katika kuendesha kwangu gari barabarani, nimegundua kwamba madereva wengi wa hivi vigari vidogo vidogo kama IST, wana fujo sana barabarani. Na mara nyingi utakuta ni vigari vichafu vichafu na vilivyochakaa.

Kila nikiangalia dereva wake, nakuta ni vijana wa kiume. Inaonekana wengi wao ni limbukeni ambao wamejibana matumizi hadi kuweza kununua kiji IST cha mtu fulani kakichoka, au wanaendesha gari za dada zao, na sasa wanajiona wao ndio wao, wamekuwa wanaume wa shoka barabarani. Hawana kabisa uvumilivu na ustaarabu wa barabarani. Wanapenda kutanua hata pasipokubalika kutanua, kila wakati ni fujo tu utafikiri wamevuta bangi ya Mufindi. Ukiwa barabara ukakuta gari za upande wa pili zimekwama mara nyingi ni hivi viroboto vimezuia njia. Huwezi kukuta dereva mstaarabu na gari yake safi kafanya ujinga kama huu, ni nadra sana.

Sasa tuwaambie ukweli, hivyo vi IST vyenu na vi VITZ vitawaua sana, nyie endeleeni kujifanya wajuaji wa barabarani. Kuna siku mtanikuta barabarani na mdude wangu fulani wa zamani wa mchanga nitawabamiza kwelikweli. Wee ngoja tu.
Ambavyo hujataja Passo na Starlet hata sijakuelewa!
 
"Shubaaamiti"
 
Experience unayo wewe mzee
Wewe ndio uliyesema ukifika umri fulani ukiwa utakuwa hivi kwa sababu hii. Sasa bilapersonal experience ungejuaje? Na mimi kwa taarifa yako siko huko nasema sana kwa sababu ni mwalimu
 
Back
Top Bottom