100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ukiangalia hii video, huyo dada aliyevaa nguo za CHADEMA ameonyesha ujasiri sana, amekwenda mbele kumuokoa huyo jamaa kutoka kwenye kipigo cha polisi, wenzake ndipo wakafuata....
Akarudi tena kama anataka kwenda kumuokoa na yule mwingine lakini akaona hawezi peke yake...
Nimemkubali sana, hivi hapo wanaume walikuwa wapi? huyu nimekubali ni mwanamke wa shoka... aisee wanawake wameamka, hivi sasa msiwadharau kabisa wanawake ....
View: https://www.youtube.com/shorts/Y2lbWQIeNIo