Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

Wakati huyo mwanaume anawekwa kati anashambuliwa na virungu katikati ya polisi, huyo mwanamke alikuwa wapi? Kwanini yeye hakushambuliwa?
 
Wabongo waoga sana na haswaa wanaume wa Dar, Lissu ana kazi sana kuwatetea hawa wajinga.
Wakuu, nyinyi wa mikoani huwa mnatuona sisi wa huku dasilamu kama tunategea,

Kisingizio chenu ni kwamba hampo Dar sehemu ambayo haya mambo yanatokea, uchaguzi huu 2025 upo kote, wa mkoani fanyeni jambo mtuoneshe njia kama ipo, tuifate

Open challenge
 
Nakuuliza alichokifanya huyo dada ni feminism?

Maana hii mada haihusu feminism sasa nashangaa unapoelekea...
ila we jamaa ni mpare nini? Maana naona huelewi chochote! Mada imezungumzia bidada kuokoa mtu wakati men zinaangalia, na mwishoni amemalizia kwa kusema"wanawake wanaweza" sasa mimi nimeuliza point kuu ni ipi? feminism? Ama?
 
ndio maana masemaga kila siku, tanzania tumuombe mungu atuletee kiongozi mzuri coz watanzania ni waoga kama mijibwa koko!
Ni mbwa kabisa takataka na niliwachana pale pale yani unakuta jamaa kidali lakini lioga ******* oa nilimind kinoma yani mgambo anatutukana kabisa na anatuambia mnasemaje sasa majitu kimyaaaa.
 
Wewe ungefanya nini kwa mfano ? Au una type tu mtandaoni ?
Idadi ya Polisi ilikuwa ndogo kuliko ninyi
Afu mukazuga kama hamuoni mwenzenu
NoReNoE haikuwa kwenye serikari tu ilikuwa na Kwa sisi Wajinga Ambao atuwezi kudai haki zetu front zaidi ya Mtandaoni Tubadilike.
Mbowe nilimuelewesha sa Sijui kawapotosha nani?
 
Nani kakuzuia kudai haki zako usinijumuishe kwenye mambo yako.
 
Madume ya DAR hayo! Maoga haswa yanajificha nyuma ya sketi yanaskilizia virungu kwa mbali 👂👃

Kazi kufuga vigimbi tu, ati six paki!

Yanajamba jamba tu, vishundu mdebwedo. Hovyo sana.
 
Hii nchi hata mabeberu yakija yatatutawala upya, hakuna wanaume tuna maboksi tu yenye vigimbi na manyoya.

Nina wasiwasi hata hawa mapolisi uchwara watakimbia maana na wao wana kauoga ka kitanganyika.

Midebwedo. Tutapigwa virungu na mabeberu mpaka!

Mwakani nahamia Kenya. Wewe semenya The Mongolian Savage na vijusi wenzako akina adriz The Consigliere nataka mniandalie passport mara moja. Wakati ukiwadia nichanje mbuga kuelekea Naivasha nikakite kambi hapo.
 
Naunga mkono hoja, ikiwezekana chukua weka ndani kabisa, siku ukitekwa unatafutwa na nguvu kama ya FBI huwazi kabisa huko uliko...
 
Hii nchi hata mabeberu yakija yatatutawala upya, hakuna wanaume tuna maboksi tu yenye vigimbi na manyoya.

Nina wasiwasi hata hawa mapolisi uchwara watakimbia maana na wao wana kauoga ka kitanganyika.

Midebwedo. Tutapigwa virungu na mabeberu mpaka!

Mwakani nahamia Kenya. Wewe semenya The Mongolian Savage na vijusi wenzako akina adriz The Consigliere nataka mniandalie passport mara moja. Wakati ukiwadia nichanje mbuga kuelekea Naivasha nikakite kambi hapo.
The Mongolian Savage Jana Mabange yalimzidia alizidisha dozi kiasi Cha mpaka dishi lake kuyumba akawa anaandika vitu vya hovyo sana mpaka nikamshauri aombe apokonywe simu , Leo sijui kama atakuwa ameamka poa
 
Wakati huyo mwanaume anawekwa kati anashambuliwa na virungu katikati ya polisi, huyo mwanamke alikuwa wapi? Kwanini yeye hakushambuliwa?
Siwezi kujua, lakini baada ya wenzake kuanza kupigwa alijiokeza na kwenda kusaidia...
Hao wanaume walikuwa wapi kuungana na wenzao kipindi anapigwa kipigo hiko?
 
ila we jamaa ni mpare nini? Maana naona huelewi chochote! Mada imezungumzia bidada kuokoa mtu wakati men zinaangalia, na mwishoni amemalizia kwa kusema"wanawake wanaweza" sasa mimi nimeuliza point kuu ni ipi? feminism? Ama?
Kwenye hio post wapi pameandikwa wanawake wanaweza?

Nimeuliza wanaume walikuwa wapi hadi huyo dada anatoka mbele peke yake kuokoa wanaopigwa?

Kaa kwenye hoja kiongozi, masuala ya point kuu unayajua mwenyewe , mimi nimezungumzia tukio lililotokea hakuna cha point kuu...

Ukweli ni kwamba hayo mazingira ukitoa hao jamaa walikuwa wanakabiliana na polisi, wanaume wengine hapo walikuwa wanaogopa, huyo dada kawazidi... inawezekana na wewe ni mmoja wapo ulikuwa hayo maeneo..
 
Hicho kipigo heavy mwanamke hawezi kushushiwa, acheni kujifanya kama hamjui nguvu ya mwanamke katika jamii.

Ingekua mwanamke ndio kapigwa hivyo, mitandaoni pasingekalika, matamko mfululu yangetolewa.

Polisi nao wanaangali nani wa kupiga.
 
Na kama umeangalia hilo tukio zima huyo dada alikua anarukwa, rungu linaahukia wanaume wa karibu yake, hata huyo mpokea kipigo nad alikua karibu nae ila yeye hakuguswa.

Na kumbuka pia hapo ni dar.
 
Back
Top Bottom