Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

Unakumbuka hilo tukio la mke wa Slaa kupigwa na Polisi?
Kiuhalisia ni kwamba yule dada kathubutu na kaonyesha ujasiri kuliko wanaume... acheni kujificha...
Mbona Agather yule wa Uganda, kapigwa na kudhalilishwa? mbona hawakuangalia kama ni mwanamke?

168665_1757079095912_1507034707_31789985_6559329_n.jpg
Video yake iko wapi??
Alipigwa katika mazingira gani?

Alirekodiwa kama yule mwamba??
Hivi umeimagine lile shambulizi apigwe mwanamke huku media ziko active zinamrekodi??

Ukianza mwanzo wa hilo varangati wanawake hawaguswi, wanarukwa, kwanini??
 
Atishe nini wewe poyoyo,
Yule mlevi kaanza kumpiga teke na ngumi polisi na wakamrudia.
Hata teke karusha huku anaanguka si mpuuzi tu huyo.
Huyo Mama wamemuacha tu kwasababu hakufanya counter attack.
Alikua anawatoa wenzake wasiendelee kupigwa kwa kuanza vurugu.
Angerusha kofi tu tungeongea mengine sa hii.
Kuna ushujaa gani hapo zaidi ya kusitiriwa.
Kuna ushujaa gani kumvamia mtu usiku wa manane, kumpiga na kumuua? Kuna ushujaa gani kumtoa mtu kwenye bus kwenda kumpiga, kumtoboa macho na hatimae kumuua? Huo ndio ushujaa?
 
Wametisha ndio, kwenye kwenda kuwaokoa wanaume wengine walikuwa wapi?
Swali hilo hilo nitakuuliza, huyo dada ametisha kwenye kuwaokoa, je kwenye kwenda kushambulia alikuwa wapi?

Majibu nilikupa, kila mmoja kaonyesha ushujaa nyakati zake. Mwanaume kwenye kushambulia, mwanamke kwenye kuokoa. Hakuna haja ya kuwasema wanaume wameogopa pia hakuna haja ya kuwasema wanawake wameogopa.
 
we jamaa wewe! Si umesema "wanawake wanaweza siku hizi"? Alafu mimi niko tarime kwahiyo sio mmoja wa hao wala chips!
Huyo dada ametisha sana... Kawazidi wanaume wengi waliokuwepo ukitoa hao waliokuwa wanapigwa...
 
Swali hilo hilo nitakuuliza, huyo dada ametisha kwenye kuwaokoa, je kwenye kwenda kushambulia alikuwa wapi?

Majibu nilikupa, kila mmoja kaonyesha ushujaa nyakati zake. Mwanaume kwenye kushambulia, mwanamke kwenye kuokoa. Hakuna haja ya kuwasema wanaume wameogopa pia hakuna haja ya kuwasema wanawake wameogopa.
Ugomvi ulipoanza huyo dada alisukumwa na askari lakini alikuwa ana resist... Au nikuwekee video?

Wanaume walifeli si kidogo acheni kujipa moyo... Ukiwatoa wale wanaume wawili waliosimama, wakapambana hadi mwisho wa nguvu zao.. wanaume wengine walikuwa wanaogopa....

Hadi mwanamke? Mwanamke? Anakwenda mbele kuwaokoa hao jamaa?

Acheni upuuzi...
 
Huyo dada ametisha sana... Kawazidi wanaume wengi waliokuwepo ukitoa hao waliokuwa wanapigwa...
mi naona repplies zako zote ni kusema mdada ametisha which make me think that you're supporting femnism!
 
Ugomvi ulipoanza huyo dada alisukumwa na askari lakini alikuwa ana resist... Au nikuwekee video?

Wanaume walifeli si kidogo acheni kujipa moyo... Ukiwatoa wale wanaume wawili waliosimama, wakapambana hadi mwisho wa nguvu zao.. wanaume wengine walikuwa wanaogopa....

Hadi mwanamke? Mwanamke? Anakwenda mbele kuwaokoa hao jamaa?

Acheni upuuzi...
Huyo jamaa aliyepigwa virungu alimlukia polisi teke la mgongo

Wanawake pia walifeli si kidogo, acheni kujipa moyo,,, Ukimtoa huyo dada aliyejitolea kuokoa mtu,, wanawake wengine walikuwa wanaogopa

Acheni upuuzi
 
Video yake iko wapi??
Alipigwa katika mazingira gani?

Alirekodiwa kama yule mwamba??
Hivi umeimagine lile shambulizi apigwe mwanamke huku media ziko active zinamrekodi??

Ukianza mwanzo wa hilo varangati wanawake hawaguswi, wanarukwa, kwanini??
Ndipo nimeuliza hiyo, mke wa Slaa ambae mmewe ni mwanasiasa alishagombea kiti cha urais, walimpiga akavuja damu kichwani kama uonavyo, walishindwaje kumpiga huyo dada?
 
Kuna ushujaa gani kumvamia mtu usiku wa manane, kumpiga na kumuua? Kuna ushujaa gani kumtoa mtu kwenye bus kwenda kumpiga, kumtoboa macho na hatimae kumuua? Huo ndio ushujaa?
We unaongea nini?
Umevuta bange, si tunaongea swala hili jipya juzi kwa hao Chadema.
Mi mengine sizungumzii hata maana hatujui kilichotokea.
Ndio ni wengi tumesoma habari tu.
 
We unaongea nini?
Umevuta bange, si tunaongea swala hili jipya juzi kwa hao Chadema.
Mi mengine sizungumzii hata maana hatujui kilichotokea.
Ndio ni wengi tumesoma habari tu.
Wewe unachosema , ameshambuliwa huyo raia kwa sababu alianza kuwapiga polisi...

Nakuuliza Mdude aliyekuwa nyumbani aliwafanya nini polisi? mbona walimfuata hadi kwake na kumuua? aliwashambulia polisi? aliwapiga teke?

Yule mzee Kibao aliyekuwa kwenye bus aliwashambulia polisi? aliwapiga teke? mbona walimshusha na kwenda kumtoboa macho? wakamuua?

Huo uchunguzi wa polisi mbona hadi leo hawajakamatwa waliohusika?

acha unafiki babukijana ...

Punguzeni unafiki.. nyie ndio mlisababisha utumwa ukaja Africa... Waafrika wengi tu wali resist lakini walitokea wapumbavu wakawauza wenzao... walitokea wanafiki na shetani kama wewe wakawauza wenzao kwa kushirikiana na washenzi...

Historia inajirudia na ndicho mnafanya hapa, vizazi vijavyo baadae mtakuwa na jina baya wapumbafu ninyi.... stupid..
 
Huyo jamaa aliyepigwa virungu alimlukia polisi teke la mgongo

Wanawake pia walifeli si kidogo, acheni kujipa moyo,,, Ukimtoa huyo dada aliyejitolea kuokoa mtu,, wanawake wengine walikuwa wanaogopa

Acheni upuuzi
Mzee Kibao nae alimrukia teke polisi?
Mdude alimrukia teke polisi?
Lissu alimrukia teke polisi?
Acheni ushenzi...
stupid..
 
Wewe unachosema , ameshambuliwa huyo raia kwa sababu alianza kuwapiga polisi...

Nakuuliza Mdude aliyekuwa nyumbani aliwafanya nini polisi? mbona walimfuata hadi kwake na kumuua? aliwashambulia polisi? aliwapiga teke?

Yule mzee Kibao aliyekuwa kwenye bus aliwashambulia polisi? aliwapiga teke? mbona walimshusha na kwenda kumtoboa macho? wakamuua?

Huo uchunguzi wa polisi mbona hadi leo hawajakamatwa waliohusika?

acha unafiki babukijana ...

Punguzeni unafiki.. nyie ndio mlisababisha utumwa ukaja Africa... Waafrika wengi tu wali resist lakini walitokea wapumbavu wakawauza wenzao... walitokea wanafiki na shetani kama wewe wakawauza wenzao kwa kushirikiana na washenzi...

Historia inajirudia na ndicho mnafanya hapa, vizazi vijavyo baadae mtakuwa na jina baya wapumbafu ninyi.... stupid..
Huwa sipotezi muda kubishana na watu wenye mtindio wa akili.
Sijui mzee kibao alifanya nini,
Ila wengine wote wana post zao humu.
Hayo yamefanyika huko , tuliwai kuwashtua hapa hapa kwamba hapo sasa unavuka mipaka walikaza shingo.
Kilichoendelea hatujui
 
Utaongea yote ila wale wanaume wawili wametisha
Sana, wametisha sana...
Lakini nani kaongoza msafara kwenda kuokoa?

Maana hata kwenye missions maalumu za kijeshi kuna vikosi na kila kikosi kina kazi yake...

Sasa tufanye hapo kila mmoja alikuwa na jukumu lake...

Kwenye operational planning jeshini kuna kitu kinaitwa SAR au search and rescue, hapo kinakuja kikosi kingine nyuma kufuatilia askari waliotekwa , kujeruhiwa au kuuawa..

Kuna kitu kinaitwa Combat Search and Rescue(CSAR) hiko ni kikosi kingine au standby unit... mdogo wangu hivi vitu huwezi kuvifahamu nakupa elimu...

Kwenye mission lazima kiwepo kikosi cha akiba ,backup unit, hiki kikosi huwa kinaingilia kati endapo mambo yataharibika... hivi hata movie huangalii?

Ndio maana nasema huyo dada katisha, wewe chukia , vimba pasuka , lakini huyo dada upande wa rescue unit ametisha sana... hata kama hakutokea wakati hao jamaa wanaanza kupigwa... lakini ameokoa mtu hapo...

Kwenye rescue unit hao wanaume walikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom