Mbona kama unafurahia police walichofanya, ni uchawa tuu ni niniWalikua nyuma ya Keyboard jf wanapiga mikwara wanasema "tutaua mtu , tutaua mtu" ila kijiko kikidondoka breki ya kwanza uvunguni kujificha
Kwani braza mwendazake hakuwa fisadi? unajua story ya China.Ufisadi mnaofanya umefika mwisho, usijifiche kwenye kumuonea huruma eti anatukanwa sana, Mungu mwenyewe watu wanamtukana...
Uongozi gani Tanzania umeongoza kwa ufisadi kuliko huu wa Samia?
Mbona Huyo dada alipambana, in manana Huyo dada ni mwamba kukuzidi? We ni WA dar? Samahani mkuu just jokeTumia akili mkuu watu watatu tungeweza kuwakabili mgambo wote na viongozi wa mwendo kasi? IDIOT.
Fragile masculinity ni shida, baada ya kujisahihisha kwamba kwenye hili wamezingua, wanakuja kujitunisha vifua kutetea uanaume wao. Wanaume wa Dar 🤦🏽♀️ 🚮🚮🚮🚮Ugomvi ulipoanza huyo dada alisukumwa na askari lakini alikuwa ana resist... Au nikuwekee video?
Wanaume walifeli si kidogo acheni kujipa moyo... Ukiwatoa wale wanaume wawili waliosimama, wakapambana hadi mwisho wa nguvu zao.. wanaume wengine walikuwa wanaogopa....
Hadi mwanamke? Mwanamke? Anakwenda mbele kuwaokoa hao jamaa?
Acheni upuuzi...
Mnajitahidi sana kumlinganisha JPM na Samia lakini uhalisia ni kwamba JPM si wa kulinganisha Samia....Kwani braza mwendazake hakuwa fisadi? unajua story ya China.
Mke wa Slaa nae alishambuliwa na polisi 10+ kwa marungu na mateke??Ndipo nimeuliza hiyo, mke wa Slaa ambae mmewe ni mwanasiasa alishagombea kiti cha urais, walimpiga akavuja damu kichwani kama uonavyo, walishindwaje kumpiga huyo dada?
Wabongo waoga sana na haswaa wanaume wa Dar, Lissu ana kazi sana kuwatetea hawa wajinga.
Ndio maana nimetoa mfano hapo juu kwamba hata jeshini kuna vikosi tofauti vinashirikiana kufanikisha operation moja...Mke wa Slaa nae alishambuliwa na polisi 10+ kwa marungu na mateke??
Kwa ile mbugi iliyokuwepo pale, yule dada haiwezi na kinga yake ni ule uanamke wake.
Pamoja na hilo bado ni jasiri, sibezi ujasiri wake.
Unajua sisi tulipambana kiasi gani pale tho tulikua watatu? Na tulifanikiwa jamaa hakunyanganywa simu. Mkuu kwa comment yako hiyo nishajua wewe ni wale wale manyumbu tuu na upeo wako wa akili ni mdogo sana hujui maana ya umoja.Mbona Huyo dada alipambana, in manana Huyo dada ni mwamba kukuzidi? We ni WA dar? Samahani mkuu just joke
Sawa nyumbu mwenzangu jokesUnajua sisi tulipambana kiasi gani pale tho tulikua watatu? Na tulifanikiwa jamaa hakunyanganywa simu. Mkuu kwa comment yako hiyo nishajua wewe ni wale wale manyumbu tuu na upeo wako wa akili ni mdogo sana hujui maana ya umoja.