Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

Hiv mzazi unaanzaje kumshauri mwanao kujiunga na jeshi la Polisi?

Polisi si ni kazi ya laana hii?
Hii kazi niliapa sitakuja kuifanya maishani mwangu nikiwa form 2 tu. Just imagine a form 2 student anatambua u-Polisi ni kazi ya laana!
 
Wanawake ni wazazi,so wanajua uchungu wa ubinadamu,

Woman is our mother,we all come from mothers,
Woman are mothers and the source of humanity,
A woman is to be loved and appreciated,woman is an earth,the mother of creation.
 
Hapo umeongea neno.Hata kama nisiwe CCM lakini naumia sana mama yetu SSH anapotukanwa mitandaoni na kile kimal????a wakati ana mumewe,watoto,wajukuu na raisi wetu kwa sasa.
Kumpinga mtu kuna lugha ya staha.zaidi ya yote kile kidada kichangu kwa SSH ni mwanaye
 
Hicho kipigo heavy mwanamke hawezi kushushiwa, acheni kujifanya kama hamjui nguvu ya mwanamke katika jamii.

Ingekua mwanamke ndio kapigwa hivyo, mitandaoni pasingekalika, matamko mfululu yangetolewa.

Polisi nao wanaangali nani wa kupiga.
Unakumbuka hilo tukio la mke wa Slaa kupigwa na Polisi?
Kiuhalisia ni kwamba yule dada kathubutu na kaonyesha ujasiri kuliko wanaume... acheni kujificha...
Mbona Agather yule wa Uganda, kapigwa na kudhalilishwa? mbona hawakuangalia kama ni mwanamke?

168665_1757079095912_1507034707_31789985_6559329_n.jpg
 
Hapo umeongea neno.Hata kama nisiwe CCM lakini naumia sana mama yetu SSH anapotukanwa mitandaoni na kile kimal????a wakati ana mumewe,watoto,wajukuu na raisi wetu kwa sasa.
Kumpinga mtu kuna lugha ya staha.zaidi ya yote kile kidada kichangu kwa SSH ni mwanaye
Akiwa mama yako inatosha wengine hatumtaki hata kumsikia..
 
Siwezi kujua, lakini baada ya wenzake kuanza kupigwa alijiokeza na kwenda kusaidia...
Hao wanaume walikuwa wapi kuungana na wenzao kipindi anapigwa kipigo hiko?
Kwahiyo maana yake kila mmoja ni shujaa na kila mmoja ni muoga. Wametofautiana nyakati za kuonyesha ushujaa na uoga wao. Alianza mwanaume, anafuatia mwanamke. Hakuna haja ya kuwalumu wanaume ni waoga ili hali nyakati ambazo mwanaume anaonyesha ushujaa, huyo mwanamke hakuwepo
 
Ukweli ni kwamba wanaume walifeli kwenda kuwaokoa hao wananchi waliokuwa wanapigwa, aliyejitokeza ni huyo dada, tuache kujipa moyo na tukubali uhalisia, ni kwamba walifeli full stop.
 
Akiwa mama yako inatosha wengine hatumtaki hata kumsikia..
msiomtaka ni wewe usisemee wengine.Ndio ni mama yangu.Mimi sio CCM ila kwa hili nitampigia mama yangu angalau hata kama ni kura ya huruma.Toka uhai wangu kuanza kuwa na sifa ya kupiga kura nchi hii toka 1985 sijawahi ona raisi ambaye amedhalilishwa kiasi hiki kwa kutukanwa.Hii haimanishi kuwa hafai ila kinachochangia zaidi ni technology ya mitandao.

Kingine mama wa watu kuna baadhi ya watangulizi wake huenda walikosea mahali hivyo anabebeshwa zigo la mavi.Uraisi ni kama mbio za kijiti mwenzako anakupa hata akupe kikiwa cha moto ni mzigo wako lazima uubebe.Najua mna tabia ya kumlinganisha na mtangulizi wake lakini ukae ukijua kila uongozi na kitabu chake.

MtangulizI wake mnamsifu lakini naye alikuwa na mapungufu mengi tu na mazuri mengi tu yeye hakuwa malaika.Kungekuwa na uwezekano hata wewe jaribu kubadili baba utakuja kugundua mazuri ya baba yako wa mwanzo kuliko baba mpya na na mabaya yake pia.Na baba mpya utaona mabaya ya yake na mazuri yake.

Halafu wala hana hasira mama wa watu yuko kama chura kiziwi hasikii matusi yenu.Ni sawa na kelele za chura hazimnyimi ng'ombe kunywa maji.

Najua kinachowasumbua ni mfumo dume vile eti mwanamke.Yanayotokea sasa ya Lisu hata mimi kweli si ya furahii hata kidogo.

Sasa kwa taarifa yako ndio raisi wako ajaye jiandae kisaikolojia kukubali matokeo tu.
Nasema hivyo sababu vyama vinavyopambana na CCM vingine hata ofisi mikoani sijui wanazo vingine viko pale kama rubber stamp na kufuata ruzuku na kula ubwabwa kwa kifupi vimekaa kiujanja ujanja.
Naomba weka hii comment yangu baada ya October nitakutafuta.Soma alama za nyakati
 
Sasa kwa taarifa yako ndio raisi wako ajaye jiandae kisaikolojia kukubali matokeo tu.
Naomba weka hii comment yangu baada ya October nitakutafua
Sio jambo geni sana hapa nchini, kama upo nae karibu mwambie achape kazi mkuu, hata kama wanatuendesha kitembo tembk basi japo kazi wachape
 
Hicho kipigo heavy mwanamke hawezi kushushiwa, acheni kujifanya kama hamjui nguvu ya mwanamke katika jamii.

Ingekua mwanamke ndio kapigwa hivyo, mitandaoni pasingekalika, matamko mfululu yangetolewa.

Polisi nao wanaangali nani wa kupiga.

hayo matamko yangetolewa na nani? Maria Sarungi? au Mange?
 
msiomtaka ni wewe usisemee wengine.Ndio ni mama yangu.Mimi sio CCM ila kwa hili nitampigia mama yangu angalau hata kama ni kura ya huruma.Toka uhai wangu kuanza kuwa na sifa ya kupiga kura nchi hii sijawahi ona raisi ambaye amedhalilishwa kiasi hiki kwa kutukanwa.Hii haimanishi kuwa hafai ila kinachochangia zaidi ni technology ya mitandao.
Halafu wala hana hasira yuko kama chura kiziwi hasikii matusi yenu.Ni sawa na kelele za chura hazimnyimi ng'ombe kunywa maji.
Najua kinachowasumbua ni mfumo dume vile eti mwanamke.
Sasa kwa taarifa yako ndio raisi wako ajaye jiandae kisaikolojia kukubali matokeo tu.
Naomba weka hii comment yangu baada ya October nitakutafua
Ufisadi mnaofanya umefika mwisho, usijifiche kwenye kumuonea huruma eti anatukanwa sana, Mungu mwenyewe watu wanamtukana...
Uongozi gani Tanzania umeongoza kwa ufisadi kuliko huu wa Samia?
 
Ukweli ni kwamba wanaume walifeli kwenda kuwaokoa hao wananchi waliokuwa wanapigwa, aliyejitokeza ni huyo dada, tuache kujipa moyo na tukubali uhalisia, ni kwamba walifeli full stop.
Na ukweli ni kwamba wanawake walifel kwenda katikati ya polisi kupambana wakaenda wanaume full stop
 
Kwenye hio post wapi pameandikwa wanawake wanaweza?

Nimeuliza wanaume walikuwa wapi hadi huyo dada anatoka mbele peke yake kuokoa wanaopigwa?

Kaa kwenye hoja kiongozi, masuala ya point kuu unayajua mwenyewe , mimi nimezungumzia tukio lililotokea hakuna cha point kuu...

Ukweli ni kwamba hayo mazingira ukitoa hao jamaa walikuwa wanakabiliana na polisi, wanaume wengine hapo walikuwa wanaogopa, huyo dada kawazidi... inawezekana na wewe ni mmoja wapo ulikuwa hayo maeneo..
we jamaa wewe! Si umesema "wanawake wanaweza siku hizi"? Alafu mimi niko tarime kwahiyo sio mmoja wa hao wala chips!
 
Utaongea yote lakini huyo dada katisha...
Atishe nini wewe poyoyo,
Yule mlevi kaanza kumpiga teke na ngumi polisi na wakamrudia.
Hata teke karusha huku anaanguka si mpuuzi tu huyo.
Huyo Mama wamemuacha tu kwasababu hakufanya counter attack.
Alikua anawatoa wenzake wasiendelee kupigwa kwa kuanza vurugu.
Angerusha kofi tu tungeongea mengine sa hii.
Kuna ushujaa gani hapo zaidi ya kusitiriwa.
 
Back
Top Bottom