Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
10,825
Reaction score
38,702
Ukiangalia hii video, huyo dada aliyevaa nguo za CHADEMA ameonyesha ujasiri sana, amekwenda mbele kumuokoa huyo jamaa kutoka kwenye kipigo cha polisi, wenzake ndipo wakafuata....

Akarudi tena kama anataka kwenda kumuokoa na yule mwingine lakini akaona hawezi peke yake...

Nimemkubali sana, hivi hapo wanaume walikuwa wapi? huyu nimekubali ni mwanamke wa shoka... aisee wanawake wameamka, hivi sasa msiwadharau kabisa wanawake ....


View: https://www.youtube.com/shorts/Y2lbWQIeNIo
Your browser is not able to display this video.

​
 
maandamano ya kuiondoa fisiem yataongozwa na wanawake, nahisi kama polisi wengempiga kipigo na huyo mwanamke basi wanaume wa dar wangejua wanatakiwa kufanya nini,

kuna muda natamani sisi vijana wa hapa tarime tuje hapo mahakamani tuwaonyeshe show kali hao polisi maana wanaume wa Dar naona ni mdebwedo sana.
 
Wewe ungefanya nini kwa mfano ? Au una type tu mtandaoni ?
 
kwa hiyo point yako ni nini? Unasupport feminism kutokana na alichotenda huyo mwanadada?
 
Lema alimtelekeza mwenyekiti wake wa BAVICHA. Inachekesha na kusikitisha sana kwa hawa mashujaa feki wa mtandaoni. Lema ni mfano hai wa tabia za wanaharakati wa CHADEMA. Kuingiza watu matatizo na kuwatelekeza.
hata biblia inaonya kuhusu rushwa kwani inapofusha macho! Yaani wewe unaona ni sawa mtanzania mwenzako kufanyiwa ukatili kisa unapewa buku 7? Acha upuuzi wewe kiroboto!
 
ndio maana masemaga kila siku, tanzania tumuombe mungu atuletee kiongozi mzuri coz watanzania ni waoga kama mijibwa koko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…