Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
Hii kazi niliapa sitakuja kuifanya maishani mwangu nikiwa form 2 tu. Just imagine a form 2 student anatambua u-Polisi ni kazi ya laana!Hiv mzazi unaanzaje kumshauri mwanao kujiunga na jeshi la Polisi?
Polisi si ni kazi ya laana hii?
Hapo umeongea neno.Hata kama nisiwe CCM lakini naumia sana mama yetu SSH anapotukanwa mitandaoni na kile kimal????a wakati ana mumewe,watoto,wajukuu na raisi wetu kwa sasa.Wanawake ni wazazi,so wanajua uchungu wa ubinadamu,
Woman is our mother,we all come from mothers,
Woman are mothers and the source of humanity,
A woman is to be loved and appreciated,woman is an earth,the mother of creation.
Unakumbuka hilo tukio la mke wa Slaa kupigwa na Polisi?Hicho kipigo heavy mwanamke hawezi kushushiwa, acheni kujifanya kama hamjui nguvu ya mwanamke katika jamii.
Ingekua mwanamke ndio kapigwa hivyo, mitandaoni pasingekalika, matamko mfululu yangetolewa.
Polisi nao wanaangali nani wa kupiga.
Akiwa mama yako inatosha wengine hatumtaki hata kumsikia..Hapo umeongea neno.Hata kama nisiwe CCM lakini naumia sana mama yetu SSH anapotukanwa mitandaoni na kile kimal????a wakati ana mumewe,watoto,wajukuu na raisi wetu kwa sasa.
Kumpinga mtu kuna lugha ya staha.zaidi ya yote kile kidada kichangu kwa SSH ni mwanaye
Kwahiyo maana yake kila mmoja ni shujaa na kila mmoja ni muoga. Wametofautiana nyakati za kuonyesha ushujaa na uoga wao. Alianza mwanaume, anafuatia mwanamke. Hakuna haja ya kuwalumu wanaume ni waoga ili hali nyakati ambazo mwanaume anaonyesha ushujaa, huyo mwanamke hakuwepoSiwezi kujua, lakini baada ya wenzake kuanza kupigwa alijiokeza na kwenda kusaidia...
Hao wanaume walikuwa wapi kuungana na wenzao kipindi anapigwa kipigo hiko?
Ukweli ni kwamba wanaume walifeli kwenda kuwaokoa hao wananchi waliokuwa wanapigwa, aliyejitokeza ni huyo dada, tuache kujipa moyo na tukubali uhalisia, ni kwamba walifeli full stop.Kwahiyo maana yake kila mmoja ni shujaa na kila mmoja ni muoga. Wametofautiana nyakati za kuonyesha ushujaa na uoga wao. Alianza mwanaume, anafuatia mwanamke. Hakuna haja ya kuwalumu wanaume ni waoga ili hali nyakati ambazo mwanaume anaonyesha ushujaa, huyo mwanamke hakuwepo
msiomtaka ni wewe usisemee wengine.Ndio ni mama yangu.Mimi sio CCM ila kwa hili nitampigia mama yangu angalau hata kama ni kura ya huruma.Toka uhai wangu kuanza kuwa na sifa ya kupiga kura nchi hii toka 1985 sijawahi ona raisi ambaye amedhalilishwa kiasi hiki kwa kutukanwa.Hii haimanishi kuwa hafai ila kinachochangia zaidi ni technology ya mitandao.Akiwa mama yako inatosha wengine hatumtaki hata kumsikia..
Sio jambo geni sana hapa nchini, kama upo nae karibu mwambie achape kazi mkuu, hata kama wanatuendesha kitembo tembk basi japo kazi wachapeSasa kwa taarifa yako ndio raisi wako ajaye jiandae kisaikolojia kukubali matokeo tu.
Naomba weka hii comment yangu baada ya October nitakutafua
Hicho kipigo heavy mwanamke hawezi kushushiwa, acheni kujifanya kama hamjui nguvu ya mwanamke katika jamii.
Ingekua mwanamke ndio kapigwa hivyo, mitandaoni pasingekalika, matamko mfululu yangetolewa.
Polisi nao wanaangali nani wa kupiga.
Ufisadi mnaofanya umefika mwisho, usijifiche kwenye kumuonea huruma eti anatukanwa sana, Mungu mwenyewe watu wanamtukana...msiomtaka ni wewe usisemee wengine.Ndio ni mama yangu.Mimi sio CCM ila kwa hili nitampigia mama yangu angalau hata kama ni kura ya huruma.Toka uhai wangu kuanza kuwa na sifa ya kupiga kura nchi hii sijawahi ona raisi ambaye amedhalilishwa kiasi hiki kwa kutukanwa.Hii haimanishi kuwa hafai ila kinachochangia zaidi ni technology ya mitandao.
Halafu wala hana hasira yuko kama chura kiziwi hasikii matusi yenu.Ni sawa na kelele za chura hazimnyimi ng'ombe kunywa maji.
Najua kinachowasumbua ni mfumo dume vile eti mwanamke.
Sasa kwa taarifa yako ndio raisi wako ajaye jiandae kisaikolojia kukubali matokeo tu.
Naomba weka hii comment yangu baada ya October nitakutafua
Na ukweli ni kwamba wanawake walifel kwenda katikati ya polisi kupambana wakaenda wanaume full stopUkweli ni kwamba wanaume walifeli kwenda kuwaokoa hao wananchi waliokuwa wanapigwa, aliyejitokeza ni huyo dada, tuache kujipa moyo na tukubali uhalisia, ni kwamba walifeli full stop.
Utaongea yote lakini huyo dada katisha...Na ukweli ni kwamba wanawake walifel kwenda katikati ya polisi kupambana wakaenda wanaume full stop
Utaongea yote ila wale wanaume wawili wametishaUtaongea yote lakini huyo dada katisha...
Mkuu kumbe ulikuwepo alafu hamna ulicho fanya unakuja kulalama humuNi mbwa kabisa takataka na niliwachana pale pale yani unakuta jamaa kidali lakini lioga ******* oa nilimind kinoma yani mgambo anatutukana kabisa na anatuambia mnasemaje sasa majitu kimyaaaa.
we jamaa wewe! Si umesema "wanawake wanaweza siku hizi"? Alafu mimi niko tarime kwahiyo sio mmoja wa hao wala chips!Kwenye hio post wapi pameandikwa wanawake wanaweza?
Nimeuliza wanaume walikuwa wapi hadi huyo dada anatoka mbele peke yake kuokoa wanaopigwa?
Kaa kwenye hoja kiongozi, masuala ya point kuu unayajua mwenyewe , mimi nimezungumzia tukio lililotokea hakuna cha point kuu...
Ukweli ni kwamba hayo mazingira ukitoa hao jamaa walikuwa wanakabiliana na polisi, wanaume wengine hapo walikuwa wanaogopa, huyo dada kawazidi... inawezekana na wewe ni mmoja wapo ulikuwa hayo maeneo..
Atishe nini wewe poyoyo,Utaongea yote lakini huyo dada katisha...
mweleweshe mkuu!Na kama umeangalia hilo tukio zima huyo dada alikua anarukwa, rungu linaahukia wanaume wa karibu yake, hata huyo mpokea kipigo nad alikua karibu nae ila yeye hakuguswa.
Na kumbuka pia hapo ni dar.