Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

Hawa mbwa police bila kuanza kuwapiga hawatabadilika, wenzao waliishia kuchinjwa tuu hayajifunzi lakini
 
Walikua nyuma ya Keyboard jf wanapiga mikwara wanasema "tutaua mtu , tutaua mtu" ila kijiko kikidondoka breki ya kwanza uvunguni kujificha
 
Ufisadi mnaofanya umefika mwisho, usijifiche kwenye kumuonea huruma eti anatukanwa sana, Mungu mwenyewe watu wanamtukana...
Uongozi gani Tanzania umeongoza kwa ufisadi kuliko huu wa Samia?
Kwani braza mwendazake hakuwa fisadi? unajua story ya China.
 
Fragile masculinity ni shida, baada ya kujisahihisha kwamba kwenye hili wamezingua, wanakuja kujitunisha vifua kutetea uanaume wao. Wanaume wa Dar 🤦🏽‍♀️ 🚮🚮🚮🚮
 
Watz ni kama nyumbu tu, mwenzenu anakufa hapo mwisngine huku anakula nyasi,
Tungepata hata moyo wa nyati tu, nchi hii isingekuwa hivi.
 
Ndipo nimeuliza hiyo, mke wa Slaa ambae mmewe ni mwanasiasa alishagombea kiti cha urais, walimpiga akavuja damu kichwani kama uonavyo, walishindwaje kumpiga huyo dada?
Mke wa Slaa nae alishambuliwa na polisi 10+ kwa marungu na mateke??

Kwa ile mbugi iliyokuwepo pale, yule dada haiwezi na kinga yake ni ule uanamke wake.

Pamoja na hilo bado ni jasiri, sibezi ujasiri wake.
 
Wabongo waoga sana na haswaa wanaume wa Dar, Lissu ana kazi sana kuwatetea hawa wajinga.

Hii tabia ya kutudharau wanaume wa Dar es salaam ife. Mzizima ni kitovu cha wapigania uhuru wa bara la Afrika. Sasa hivi tunaishi maisha ya kuchagua. Mimi na adabu zangu siwezi kwenda kupigwa virungu na hawa mgambo wasio na elimu au unatutania mkuu? Down town ni sehemu ya kupiga deals, ukienda kupigana na polisi kwa ajili ya wanasiasa lazima utakuwa umetoka bush huko, we tuache bhana
 
Mke wa Slaa nae alishambuliwa na polisi 10+ kwa marungu na mateke??

Kwa ile mbugi iliyokuwepo pale, yule dada haiwezi na kinga yake ni ule uanamke wake.

Pamoja na hilo bado ni jasiri, sibezi ujasiri wake.
Ndio maana nimetoa mfano hapo juu kwamba hata jeshini kuna vikosi tofauti vinashirikiana kufanikisha operation moja...
Huyo dada upande wa rescue unit ametisha sana...
Hata jeshini huwa hawaendi makomandoo wote mbele kupambana, lazima kuna backup unit, lazima kuna rescue unit...

Upande wa backup na rescue wanaume walifeli sana achana na hao waliokwenda mbele..
 
Mbona Huyo dada alipambana, in manana Huyo dada ni mwamba kukuzidi? We ni WA dar? Samahani mkuu just joke
Unajua sisi tulipambana kiasi gani pale tho tulikua watatu? Na tulifanikiwa jamaa hakunyanganywa simu. Mkuu kwa comment yako hiyo nishajua wewe ni wale wale manyumbu tuu na upeo wako wa akili ni mdogo sana hujui maana ya umoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…