Ndio maana alisema iwe ndani au nje ya chama akimaanisha Ni lazima tuijenge utamaduni wa kuheshimiana na kukosoana kwa heshima na adabu, kunyooka nao maana yake kutoa taarifa mahali husika ili hatua za kisheria zichukuliwe kwa utaratibu wa kisheria
Empty brain with nonsensical ideas.Tulia alikuwa anamaanisha kuwa lazima kuwepo kuheshimiana na kukosoana kwa heshima na busara na lazima tujifunze kuvumiliana tunapotofautiana na tubishane kwa hoja, siyo matusi Kama mnavyo fanya nyie, na kauli ya kusema kunyooka na mtu maana yake Ni kwa hoja na kutoa taarifa mahali panapohusika
Mwambie Tulia Ackson kwanza.Ni lazima tuijenge utamaduni wa kuheshimiana
Unaweza ukaweka hapa matusi yake hapa aliyotukanaMwambie Tulia Ackson kwanza.
Nakuona mwana BavichaaEmpty brain with nonsensical ideas.
Zizi la chadema limekosa ndama walio Bora na hivyo muda wowote zizi Hili litakwishaUbora wa ndama ndo unatoa uhakika kwa zizi
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo , Huwezi mtu mwenye Akili Timamu ukaweka matumaini na Imani yako kwa chama Kama Chadema kilichokosa Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge, maana chadema Sera na ajenda zao muda wote Ni kuporomosha matusi tu kwa yeyote anayetofautiana naoIla kwa namna ambavyo Mama Tanzania alivyofukarishwa na ccm, mtu yeyote akitumia lugha ya kuudhi dhidi ya ma ccm ni sawa tuu!.
Hakupewa uspika Bali alistahili kutokana na sifa zake kitaaluma na kiuzoefu kwa kuwa amekuwa naibu spika kwa muda wakutosha kuweza kumfanya kuwa Rahisi kumudu majukumu ya uspikaHayo umeyasema wewe ili Tulia akuone unamtetea. Lakini kiukweli Tulia ni mchochezi uspika wa kupewa umemlewesha anaona wengine hawafai kabisa.
Tulijua tu mwisho wa siku utatafuta upenyo wa kukimbia jf , malipo ya elfu 7 yasingeweza kukufanya ulale humu jfNdugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho
Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,
Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,
Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao
Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa
Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja
Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Hatuna muda kujadiliana na chawa kama wewe. Wewe umechagua kulamba miguu ya watawala sisi tumeamua kuwa upande wa wananchi wanaokandamizwa na mzigo wa kodi haramu (tozo).Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho
Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,
Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,
Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao
Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa
Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja
Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Hakuna mwananchi mwenye Akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuwaunga mkono juu ya matusi yenu, wananchi wangewaunga mkono Kama mngejikita katika Sera na ajenda zinazogusa maisha yao , lakini kwa bahati mbaya mmejizamisha katika kutukana matusi tuu kwa kila kituHatuna muda kujadiliana na chawa kama wewe. Wewe umechagua kulamba miguu ya watawala sisi tumeamua kuwa upande wa wananchi wanaokandamizwa na mzigo wa kodi haramu (tozo).
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo , Huwezi mtu mwenye Akili Timamu ukaweka matumaini na Imani yako kwa chama Kama Chadema kilichokosa Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge, maana chadema Sera na ajenda zao muda wote Ni kuporomosha matusi tu kwa yeyote anayetofautiana nao
Tulijua tu mwisho wa siku utatafuta upenyo wa kukimbia jf , malipo ya elfu 7 yasingeweza kukufanya ulale humu jf
CCM inaongoza na Kuendelea kuaminiwa muda wote kwa kuwa CCM inatoa majibu ya maswali ya wananchi, lakini pia CCM ndio mdomo na masikio ya watanzania, Hakuna wakuwapa kura nyie chadema kwa kuwa hamna muelekeo Wala dira inayowaongoza na hamueleweki mnasimamia Nini kwa Sasa kinachogusa maisha ya watanzaniaTumaini gani watu wamechoka Hadi wanajiua kisa ugumu wa Maisha. Tumaini lazima iwe ni option ya mwisho Sasa CCM imetawala yenyewe miaka yote uje useme ni Tumaini la watanzania kivipi? Na ni chama gani kimeondoa Tumaini kwa watanzania.
Nini maana ya tusiSi unaona umeanza matusi Kama kawaida yenu
Mkuu umekuwa msemaji wake siku hizi?Tulia alikuwa anamaanisha kuwa lazima kuwepo kuheshimiana na kukosoana kwa heshima na busara na lazima tujifunze kuvumiliana tunapotofautiana na tubishane kwa hoja, siyo matusi Kama mnavyo fanya nyie, na kauli ya kusema kunyooka na mtu maana yake Ni kwa hoja na kutoa taarifa mahali panapohusika
wale wanao tukana kila siku kuhusu lisu na armstadam ni vijana kutoka wapi? unawezaje kumwita mtu shoga bila kuthibitisha kisa alitoa angalizo kuhusu madini yaliyouzwa na wana ccm wenyewe?Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho
Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,
Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,
Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao
Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa
Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja
Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Hakupewa uspika Bali alistahili kutokana na sifa zake kitaaluma na kiuzoefu kwa kuwa amekuwa naibu spika kwa muda wakutosha kuweza kumfanya kuwa Rahisi kumudu majukumu ya uspika