Hivi Vijana wa CHADEMA Wanatumia kitu gani kinachoharibu uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja? Mbona hawana adabu wala hekima?

Ndio maana alisema iwe ndani au nje ya chama akimaanisha Ni lazima tuijenge utamaduni wa kuheshimiana na kukosoana kwa heshima na adabu, kunyooka nao maana yake kutoa taarifa mahali husika ili hatua za kisheria zichukuliwe kwa utaratibu wa kisheria

Yani CCM ndio iheshimiwe pekee yake. Mimi ningemuona Tulia ana maana Kama angewashauri vijana wa CCM wapigane wenyewe kwa wenyewe na sio kuhusisha vijana walio nje ya CCM . Hapo anakaribisha mambo ya ajabu.
 
Tulia alikuwa anamaanisha kuwa lazima kuwepo kuheshimiana na kukosoana kwa heshima na busara na lazima tujifunze kuvumiliana tunapotofautiana na tubishane kwa hoja, siyo matusi Kama mnavyo fanya nyie, na kauli ya kusema kunyooka na mtu maana yake Ni kwa hoja na kutoa taarifa mahali panapohusika
Empty brain with nonsensical ideas.
 
Ila kwa namna ambavyo Mama Tanzania alivyofukarishwa na ccm, mtu yeyote akitumia lugha ya kuudhi dhidi ya ma ccm ni sawa tuu!.
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo , Huwezi mtu mwenye Akili Timamu ukaweka matumaini na Imani yako kwa chama Kama Chadema kilichokosa Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge, maana chadema Sera na ajenda zao muda wote Ni kuporomosha matusi tu kwa yeyote anayetofautiana nao
 
Hayo umeyasema wewe ili Tulia akuone unamtetea. Lakini kiukweli Tulia ni mchochezi uspika wa kupewa umemlewesha anaona wengine hawafai kabisa.
Hakupewa uspika Bali alistahili kutokana na sifa zake kitaaluma na kiuzoefu kwa kuwa amekuwa naibu spika kwa muda wakutosha kuweza kumfanya kuwa Rahisi kumudu majukumu ya uspika
 
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho

Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,

Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,

Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao

Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa

Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja

Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Tulijua tu mwisho wa siku utatafuta upenyo wa kukimbia jf , malipo ya elfu 7 yasingeweza kukufanya ulale humu jf
 
Hatuna muda kujadiliana na chawa kama wewe. Wewe umechagua kulamba miguu ya watawala sisi tumeamua kuwa upande wa wananchi wanaokandamizwa na mzigo wa kodi haramu (tozo).
 
Hakuna mwananchi mwenye Akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuwaunga mkono juu ya matusi yenu, wananchi wangewaunga mkono Kama mngejikita katika Sera na ajenda zinazogusa maisha yao , lakini kwa bahati mbaya mmejizamisha katika kutukana matusi tuu kwa kila kitu

Ndio maana matumaini na Imani ya wananchi ipo kwa CCM ambayo imekuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha yao na kuwasikiliza kero zao na kutoa suluhisho
 
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo , Huwezi mtu mwenye Akili Timamu ukaweka matumaini na Imani yako kwa chama Kama Chadema kilichokosa Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge, maana chadema Sera na ajenda zao muda wote Ni kuporomosha matusi tu kwa yeyote anayetofautiana nao

Tumaini gani watu wamechoka Hadi wanajiua kisa ugumu wa Maisha. Tumaini lazima iwe ni option ya mwisho Sasa CCM imetawala yenyewe miaka yote uje useme ni Tumaini la watanzania kivipi? Na ni chama gani kimeondoa Tumaini kwa watanzania.
 
Mleta mada; ukitaka kummulika nyoka anzia miguuni kwako!
Hebu jitazameni nyie kwanza mjichunguze kama mko sawa.
Hebu angalia vijana unaosema wanatukana tujue wanatukana matusi gani (lakini matusi ni haramu).
Hebu angalia nyie lugha zenu kama zina kheri kwa Taifa, mnafikia mahali hadi kujiita chinjachinja na kuhamasisha kupigana tena hao ndio viongozi wa chama chako na nyie mnashangalia! Tunapeleka Taifa wapi?
Ubaya upo huko kwenu na mnaujenga ninyi, jitafakarini sana!
 
Tumaini gani watu wamechoka Hadi wanajiua kisa ugumu wa Maisha. Tumaini lazima iwe ni option ya mwisho Sasa CCM imetawala yenyewe miaka yote uje useme ni Tumaini la watanzania kivipi? Na ni chama gani kimeondoa Tumaini kwa watanzania.
CCM inaongoza na Kuendelea kuaminiwa muda wote kwa kuwa CCM inatoa majibu ya maswali ya wananchi, lakini pia CCM ndio mdomo na masikio ya watanzania, Hakuna wakuwapa kura nyie chadema kwa kuwa hamna muelekeo Wala dira inayowaongoza na hamueleweki mnasimamia Nini kwa Sasa kinachogusa maisha ya watanzania
 
Tulia alikuwa anamaanisha kuwa lazima kuwepo kuheshimiana na kukosoana kwa heshima na busara na lazima tujifunze kuvumiliana tunapotofautiana na tubishane kwa hoja, siyo matusi Kama mnavyo fanya nyie, na kauli ya kusema kunyooka na mtu maana yake Ni kwa hoja na kutoa taarifa mahali panapohusika
Mkuu umekuwa msemaji wake siku hizi?
Alichosema ndicho alimaanisha, wewe tulia!
 
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho

Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,

Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,

Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao

Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa

Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja

Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
wale wanao tukana kila siku kuhusu lisu na armstadam ni vijana kutoka wapi? unawezaje kumwita mtu shoga bila kuthibitisha kisa alitoa angalizo kuhusu madini yaliyouzwa na wana ccm wenyewe?
yule musiba aliyemuhusisha suphiani juma na zitto na maalim seif ni wa chama gani wewe chawa?
nani walikuwa wana mhusisha bulaya na mdee kuhusu mapenzi ya jinsia moja kama siyo chawa wenzio hapo lumumba?
nani wanamtukana mbowe na joyce mukiya kila siku hapa?
au hujui maana ya matusi wewe chawa pro?
 
Hakupewa uspika Bali alistahili kutokana na sifa zake kitaaluma na kiuzoefu kwa kuwa amekuwa naibu spika kwa muda wakutosha kuweza kumfanya kuwa Rahisi kumudu majukumu ya uspika

Utaalamu gani alionao?. Spika aliyesoma sheria anavunja sheria. Unaewzaje kuwalinda wabunge waliofukuzwa uanachama na vikao vya juu vya chama?. Hana Cha taaluma Wala Nini ndio maana hataki Mwenyekiti wa CCM akosolewe na Kama atakosolewa basi aliyemkosoa ashughulikiwe.
 
Back
Top Bottom