Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Hao wabunge wenu na makamanda wenu wa Bawacha walishapeleka kesi mahakamani , Hivyo endeleeni kupambana nao huko mahakamani na wakiwashinda msiitupie lawama CCM kwa udhaifu wenu na kushindwa kwenuUtaalamu gani alionao?. Spika aliyesoma sheria anavunja sheria. Unaewzaje kuwalinda wabunge waliofukuzwa uanachama na vikao vya juu vya chama?. Hana Cha taaluma Wala Nini ndio maana hataki Mwenyekiti wa CCM akosolewe na Kama atakosolewa basi alitemkosoa ashughulikiwe.
CCM inaongoza na Kuendelea kuaminiwa muda wote kwa kuwa CCM inatoa majibu ya maswali ya wananchi, lakini pia CCM ndio mdomo na masikio ya watanzania, Hakuna wakuwapa kura nyie chadema kwa kuwa hamna muelekeo Wala dira inayowaongoza na hamueleweki mnasimamia Nini kwa Sasa kinachogusa maisha ya watanzania
Hao wabunge wenu na makamanda wenu wa Bawacha walishapeleka kesi mahakamani , Hivyo endeleeni kupambana nao huko mahakamani na wakiwashinda msiitupie lawama CCM kwa udhaifu wenu na kushindwa kwenu
Mfanye siasa zipi unazozitaka? Au mnataka siasa za Kuendelea kutukana tukana matusi yenu, mbona mnazurula zurula na matisheti yenu mitaani kwa Uhuru,Acha uongo wewe. Kama ni Tumaini la watanzania kwanini hamtaki vyama vingine vifanye siasa?. Tanzania ingekuwa mbali Sana Kama tusingekuwa Chini ya CCM .
Wamefukuzwa kwa utaratibu you na baada ya muda upi tangia wameingia Bungeni? Haki zao zililindwa? Katiba ya chama ilizingatiwa? Kama mlizingatia hivyo vyote na vingine vingi Basi nendeni na endeleeni kupambana nao huko mahakamani walikokwenda kutafuta haki zao, kwa hiyo juu ya hili usiibebeshe mzigo CCM kwa matatizo yenu na hao makamanda wenu wa BawachaWanakuwaje wabunge wa Chadema wakati wameshafukuzwa chama?. Kwanini wanalazimishwa uanachama nanTulia?. Siku mtakaporuhusu haki kwa wapinzani ndio nchi ya Tanzania itastawi.
Mfanye siasa zipi unazozitaka? Au mnataka siasa za Kuendelea kutukana tukana matusi yenu, mbona mnazurula zurula na matisheti yenu mitaani kwa Uhuru,
Ben saanane Azron tuambie wako wapi? Walinyooka nao au?Tulia alikuwa anamaanisha kuwa lazima kuwepo kuheshimiana na kukosoana kwa heshima na busara na lazima tujifunze kuvumiliana tunapotofautiana na tubishane kwa hoja, siyo matusi Kama mnavyo fanya nyie, na kauli ya kusema kunyooka na mtu maana yake Ni kwa hoja na kutoa taarifa mahali panapohusika
ThibitishaHivi kwamba wewe huoni namna wanavyotukana viongozi wa serikali na yeyote anayetofautiana nao ?
Hivi ulishaona nchi Kama marekani baba wa demokrasia akimaliza uchaguzi walioshindwa wanaanza kuzurula zurula mitaani na majukwaani kuitukana serikali? Ulishaona wanafanya maandamano muda wote na kubugudhi watu katika shughuli zao za kiuchumi? Hata hivyo endelea kuwa na Subira wakati serikali sikivu ya CCM ikiandaa kupitia majadiliano na wadau kuweka utaratibu mzuri wa kuona namna ya kufanya siasa za kistaarabu na kuweza kuonana na wanachama katika maeneo yao, wananchi wanahitaji ugali mezani Pao na siyo blaa blaa, kikubwa lazima pia mjifunze kufanya siasa za kistaarabu na kuheshimiana na kuvumiliana pale tunapotofautiana kimtizamo, siyo matusii tuu muda woteWala hujaelewa ninachosema. Chama siasa kipo kwaajili ya kufanya siasa sio kutibu wagonjwa. Kama unazuia chama Cha siasa kufanya siasa Ina maana unakiua. Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi, inakuwaje Mwenyekiti wa CCM kuzuia chama kufanya siasa na kujieneza. Mh Mbowe alikamatwa kwenye mkutano wa ndani na juzi ACT imezuiliwa kufanya mkutano kwenye ziara ya katibu Mkuu wa chama hicho.
Thibitisha
Wamefukuzwa kwa utaratibu you na baada ya muda upi tangia wameingia Bungeni? Haki zao zililindwa? Katiba ya chama ilizingatiwa? Kama mlizingatia hivyo vyote na vingine vingi Basi nendeni na endeleeni kupambana nao huko mahakamani walikokwenda kutafuta haki zao, kwa hiyo juu ya hili usiibebeshe mzigo CCM kwa matatizo yenu na hao makamanda wenu wa Bawacha
Hungry man isNdugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho
Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,
Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,
Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao
Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa
Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja
Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Na chinjachinja ni wa chama gani? Sijawahi kusikia kauli hizi za ajabu kwa mlezi au chama chochote Cha upinzani. Tena kiongozi anaongea kwa kutishia. Hivi CCM mnachinjana wenyewe au ni hawa vijana wanaohangaoka ajira mnawaita chadema mnataka muwaadhibu. Wachukueni muwaajiri pale lumumba muone kama.mtalalamikiwa.CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo , Huwezi mtu mwenye Akili Timamu ukaweka matumaini na Imani yako kwa chama Kama Chadema kilichokosa Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge, maana chadema Sera na ajenda zao muda wote Ni kuporomosha matusi tu kwa yeyote anayetofautiana nao
Mdude ana busara gani? Kauli ya Chinja chinja alimaanisha kuumaliza upinzani kihoja kwa kuhakikisha kuwa anavuna wanachama wengi toka upinzani na kujiunga na CCM,Na chinjachinja wa chama gani? Sijawahi kusikia kauli hizi za ajabu kwa mlezi. Hivi CCM mnachinjana wenyewe au ni hawa vijana wanaohangaoka ajira mnawaita chadema. Wachukueni muwaajiri pale lumumba muone kama.mtalalamikiwa.
Chadema Ina vijana wenye busara sana kuliko CCM. Ni vijana ambao ni wawazi na wanapenda kumchunguza na kujadili jambo il kupata majibu.
Point yangu ni kwamba akina Mdee wanapambania kurejeshwa uanachama wao, Sasa wanaendeleaje kuwa wabunge wakati sio wanachama wanasubiri hukumu ya mahakama kuu?.
Hana heshimaUnaweza ukaweka hapa matusi yake hapa aliyotukana
Hivi kwamba wewe huoni namna wanavyotukana viongozi wa serikali na yeyote anayetofautiana nao ?