Hivi Vijana wa CHADEMA Wanatumia kitu gani kinachoharibu uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja? Mbona hawana adabu wala hekima?

Mradi wangu upo katika nguvu za mikono yangu kulishika jembe kwenda shambani kulima
Unadhani kuandamana ni zoezi la siku moja? Subiri utaona nini kitaendelea. Na uhakikishe miradi yako ya wizi imekamilika, maana ikifika wakati huo na bado miradi yako haijakamilika, ndio utajua nini maana ya kuheshimu uchaguzi.
 
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho

Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,

Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,

Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao

Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa

Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja

Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
kwanza tuanzie hapa unao ushaidi wa video wa ao vijana wakitoa matusi

na una uhakika au ushaidi gani km ao vijana ni wa chadema
 
Nenda hata kwenye kurasa za mdude ukaangalie matusi anayoandika kule, kaangalie na kupitia kurasa za viongozi wa Bavicha wanachoandika katika kurasa zao za mitandao
 
Mpaka hapa hujaeleweka unauliza nini uko too general hata haijulikani unachotaka kusaidiwa
 
Sikushangaa plkuona post kama hii kutoka kwako.

Nilipoana nikasema kumbe ni wewe oiiii
 
Nimeandika hapa ili mpate kusaidiwa kupitia mawazo ya watu japo sijuwi Kama mnaweza kubadilika kwa hatua mliyofikia kwa Sasa ya kuporomosha matusi utazani gari lililokata breki
Nitajie kwenye CCM Nani anamaneno ya kiongozi
 
Kwanini vijana wa chadema hawawezi wakajenga hoja bila kutumia lugha ya matusi na kudhalilisha katika kuwasilishwa mawazo yao?
Mpaka hapa hujaeleweka unauliza nini uko too general hata haijulikani unachotaka kusaidiwa
 
Lakini bora wao kuliko wewe
Na ukitaka kuamini soma ulichoandika kama siyo wewe umeandika
 
Hakuna ubora kwa mtu anayetukana matusi kwa mtu anayetofautiana Naye mtizamo
ni sahihi pila ila huenda ikawa iyo siyo sababu pekee ya wao kujibu kwa mtindo huo
jinsi unavyowachukulia wao ndivyo wanavyokuchukulia pia
 
Ustaraabu wa kidemokrasia Ni kuwa hoja hujibiwa kwa hoja na ndio utamaduni ulio Bora na unaokubalika mahali popote pale
ni sahihi pila ila huenda ikawa iyo siyo sababu pekee ya wao kujibu kwa mtindo huo
jinsi unavyowachukulia wao ndivyo wanavyokuchukulia pia
 
Lucas jina lako tumechukua nipe na namba yako ya simu nawe nikuweke kwenye listi ya chawa kuelekea 2025.
Tunakupatia 5M kila mwezi,1M kila mwezi ya mawasiliano,pedi za mkeo zenye thamani ya laki moja kila mwezi,nyumba ya kuishi "Obey"
Hongera sana kwa kuandika "gazeti"
 
Back
Top Bottom