Hivi Vijana wa CHADEMA Wanatumia kitu gani kinachoharibu uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja? Mbona hawana adabu wala hekima?

Ustaraabu wa kidemokrasia Ni kuwa hoja hujibiwa kwa hoja na ndio utamaduni ulio Bora na unaokubalika mahali popote
Ni vyema sana ulivyosema
Je ni wao tuu wasiokuwa wastaharabu au ni kila pande inatumia nafasi iliyo wazi kurusha ngumi ili imfike mwingine
 
Mwl nyerere alifanikiwa kuutengeneza upinzani wenye tija nchini kama ule wa Mrema!!

Wenyeviti waliofuata walishindwa kuutengeneza na kuulea wakataka kuua kwa mabomu,kesi,mauaji na nk!!

HAYO unayaita matusi ni kufeli kwa CCM kama vyama tawala kuulea upinzani!!upinzani unalelewa kwa maslahi ya Taifa sio kwa maslahi ya kushika madaraka!!

Clips za Bungeni za kizazi cha upinzani HASA Chadema za 2010 -2020. Zitasikilizwa Sana na vitukuu na vilembwe wetu na watalaumu Sana kwanini Dola hawakuipa dola upinzani huo labda ungeleta mageuzi makubwa Sana kuliko haya yaliyopo!!!

ITIKADI ZA VYAMA ZINAPOZIDI UTANZANIA WETU HULETA UDUMAVU WA MAENDELEO NCHINI!!

WASHAURI WAKUU WA NCHI WAMAKINIKE KUUTENGENEZA UPINZANI BORA NA KUUPA MADARAKA!!
 
Mwenyekiti wa chinja chinja salama?
Zile familia za mliowachinja mnazihudumia?
Damu zao zinawalilia
 
Si unaona umeanza matusi Kama kawaida yenu
Sera ya CCM ya kujiajiri imeharibu sana uwezo wa Vijana wa kitanzania kufikiri! Kwa sasa kila kijana anafikiri afanikisheje kuwa CHAWA wa CCM. Ona sasa huyu kaanika hata jina lake ili tu awe Chawa wa CCM.
 
Njoo CCM ulelewe vizuri halafu ndio uende huko upinzani kupewa nafasi ya moja kwa moja Kama kiongozi
 
Hayo matusi mbona huyataji ? Tatizo nyie mbumbu wa lumumba ukosoaji mnaita matusi na uchochezi. Mbona hamuendi Mahakamani kama mumetukanwa? Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCM
 
kwa hayo mapoyoyo ya CHADEMA wazungu WANASEMA YOU ARE WASTING YOUR PRECIOUS TIME. Lini mpumbavu alishaurika? Hayo yatabaki kuwa walalamishi mpaka yanakufa mojamoja. Yatakuwa historical popomas. Sasa km chama kilivuna pumba we utazibadilisha kuwa mchele?
 
Ulinukuu vibaya na hukuielewa kauli ya mh spika
Hata umsafishe vipi Huyo Fidodido kauli ya kuhimiza Vijana wa CCM wawadhuru Wanaomkosoa Samia haitafutika. Ni kama serikali yenu ilivyowaadhibu wasanii Mechi ya Simba Kwa kuingia na jeneza huku ikimuacha Fidodido akiomboleza msiba wa kejeli Mbeya mwaka 2020.
 
Si unaona hata wewe tu hapa maneno unayoyatumia , ndio maana nikasema nyie hamuwezi kujenga hoja bila maneno Kama hayo uliyo tumia hapa, Hata ukienda kwenye kurasa za viongozi wako wa Bavicha utakuta kurasa zimejaa matusi matupu
Hayo matusi mbona huyataji ? Tatizo nyie mbumbu wa lumumba ukosoaji mnaita matusi na uchochezi. Mbona hamuendi Mahakamani kama mumetukanwa? Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCM
 
Serikali ya CCM chini ya mama shupavu mama Samia Ni serikali inayoendeshwa kwa kufuata misingi ya utawala Bora na Sheria,
 
Ila vijana wa ccm ndio wastaarabu eti pumbavu kabisa.
 
Yote sawa ila kwa kudharau pombe za kienyenyi nimeshindwa kuona tofauti kati vijana wa CHADEMA na wewe
 
Yote sawa ila kwa kudharau pombe za kienyenyi nimeshindwa kuona tofauti kati vijana wa CHADEMA na wewe
Sija izalau hata kidogo pombe ya kienyeji lakini huwezi ukainywa kwa kuizidisha hasa Kama wewe umeamka kuikamua alfajili,huwezi ukaanza kuinywa tangia ikiwa togwa mpaka itakapokomaa lazima utaamka umelewa Sana na hutaweza hata kuwauzia wateja wako zaidi ya kuibiwa na kuingia hasara ya gharama zote za mahindi,ulezi,pumba kwa ajili ya kupikia na kuvundikia nganga,kuni, kusaga na mengine mengi tu
 
ishia tu hapo hapo maana huna utetezi
 
Ni vijana waliokosa mentorship na ambao hawana matumaini kabisa...Wana grudge ya hali ya juu kwakua wamekuwa oppressed na kuwa subjected to evil deeds for many years ni kama watoto waliolelewa mitaani...We unaangalia future ya chama mimi naogopa future ya nchi, kwakua siku nchi hii ikiwa ignited na adui yeyote italipuliwa na hawa hawa youths waliokosa mentorship ya kitaifa
 
Vp we umeitathmini kwanza adabu ya mamako?? Pumbafu mkubwa
 
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo imara na madhubuti Sana katika ulinzi wa Taifa letu, pia watanzania Tupo na uzalendo mkubwa Sana linapokuja suala la ulinzi wa Taifa letu ikiwepo kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu vya ulinzi, Hivyo msaliti yoyote yule anayeweza kutaka kuisaliti nchi yetu na kuungana na adui lazima ajuwe hatabaki salama hata kidogo, Wala hata pata nafasi ya kulitikisa Taifa letu Bali atajutia kwa usaliti wake, atapitishwa katika njia ngumu Sana, Taifa letu linalindwa kwa gharama zote na uzalendo wa Hali ya juu sana huku tukimtanguliza mwenyezi Mungu ,hivyo yoyote wakulichezea Taifa letu lazima atakumbana na dhahama kubwa sana
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…