Hivi vimbwa vina kazi gani? Naona vinapendwa sana na wadada wa mjini

Hivi vimbwa vina kazi gani? Naona vinapendwa sana na wadada wa mjini

Mbona wamefuta ule uzi wa hotel ya mwanza kutoa million kwa couple itayovunja kitanda
wametatua kama nyuzi mbili hivi itakuwa wametoswa wanatuonea wivu tu. Ngoja nimalizie kitanda kinakaribia kuvunjika.
 
Hii mentality ya kusema hvyo vimbwa Ni kwa ajili ya kulamba sehemu za Siri sijui imetokea wapi?

Hakuna mnyama asiependa chumvi,kuanzia mbuzi mpk binadamu mwenyewe....

Kufuga aina ya hao mbwa Ni hobby Kama ilivyo kufuga sungura,simbilisi...

Kumekuwa na hulka fulani ya kuzusha Jambo sababu tu ya kutokuwa na general knowledge ya jinsi dunia inavyoenda ....

Ndio maana mpk Leo Kuna watu wanaamini madaraja kujengwa usiku Basi ujue Kuna kafara inatolewa kisa tu mtu keshazoea kuona madaraja ya jkt yanayojengwa kwa dharula Basi anaamua kuzusha tu na wengine wanalidakia nakuliendeleza.....

Ujinga Ni janga kubwa Sana kwa taifa
 
Wanyama nao ni viumbe wenzetu hao.

Wanastahili kupendwa.

mimi mbwa nawapenda maana hawana unafki, ni walinzi, n.k.

Nenda youtube huko kuna clips mtu anapewa milioni 50 auze mbwa wake anakataa kata kata.

Waafrika wengi hatupendi wanyama ambao nao wameumbwa na mwenyezi Mungu, huenda moja ya sababu ya maendeleo yetu duni ni kwasbabu ya kudharau wanyama
 
Ndo hivi vya sampuli hii...
View attachment 2119141

Ni ujinga tu wa kuiga kila kitu cha wazungu.

Wazungu wengi hususani wanawake wanakuwa na mbwa kwasababu wameshindwa kujenga mahusiano ya kudumu na wanaume hivyo hawa pets, kwa maana ya mbwa na paka wanakuwa sehemu ya daraja emotionally.

Mostly because wanawake wazungu are dominant, wanataka wanaume watii kila wanachokisema hivyo wanaume wengi wanaona bora iwe one night stand kuliko commitment ya kumfanya awe mfungwa.

Friends with benefits huwa haina component ya company muda wote so hawa pets wanachukua nafasi yetu katika maisha ya wanawake. Kwanza wanatii maagizo alafu wanakuwa emotional support pillars kwa hao wanawake.

Majority of single women in Europe have dogs.
 
Ni wa Kawaida sana au Bei yake ni Kubwa na Wewe huna na Choka Mbaya tu kama Sisi tu?
Hivo vinafugiwa kwa watu wenye majumba yao na shekeli zao, sasa mimi kwenye kibanda cha tope na hivo vidogii wap na wap
 
Wachache sana watakuelewa hapa
Wanyama nao ni viumbe wenzetu hao.

Wanastahili kupendwa.

mimi mbwa nawapenda maana hawana unafki, ni walinzi, n.k.

Nenda youtube huko kuna clips mtu anapewa milioni 50 auze mbwa wake anakataa kata kata.

Waafrika wengi hatupendi wanyama ambao nao wameumbwa na mwenyezi Mungu, huenda moja ya sababu ya maendeleo yetu duni ni kwasbabu ya kudharau wanyama
 
Asee..nasikia huwa vinasense sana hatari...ata ukiinjika mboga jikoni ukaisahau ikawa inaungua...vinakuja kukukumbusha
 
Hivo vinafugiwa kwa watu wenye majumba yao na shekeli zao, sasa mimi kwenye kibanda cha tope na hivo vidogii wap na wap
Mwanangu Bushmamy hili neno shekeli limekukaa sana kinywani,ukienda kwenye magereji linatafsiriwa tofauti
 
Hii mentality ya kusema hvyo vimbwa Ni kwa ajili ya kulamba sehemu za Siri sijui imetokea wapi?

Hakuna mnyama asiependa chumvi,kuanzia mbuzi mpk binadamu mwenyewe....

Kufuga aina ya hao mbwa Ni hobby Kama ilivyo kufuga sungura,simbilisi...

Kumekuwa na hulka fulani ya kuzusha Jambo sababu tu ya kutokuwa na general knowledge ya jinsi dunia inavyoenda ....

Ndio maana mpk Leo Kuna watu wanaamini madaraja kujengwa usiku Basi ujue Kuna kafara inatolewa kisa tu mtu keshazoea kuona madaraja ya jkt yanayojengwa kwa dharula Basi anaamua kuzusha tu na wengine wanalidakia nakuliendeleza.....

Ujinga Ni janga kubwa Sana kwa taifa
Ogopa sana Imani.

imani ndio inapeleka watu mbinguni.

imani hii hii ndo unaipinga.hapa!

unataka imani itumike wapi.
 
Back
Top Bottom