Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?