Hivi viongozi kutoka US, UK nk. wakitembelea Arusha watapokewa na RC Makonda?

Hivi viongozi kutoka US, UK nk. wakitembelea Arusha watapokewa na RC Makonda?

Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
Subiri Erythrocyte atakujibu🙂
 
kwani wasipoenda ARUSHA nchi itakufa ? na je ni;lazima awapokee yeye? na nikiongozi gani wa nchi ulizozitaja huwa akitembelea nchi anapokewa na RC ?
Kwa nini mwenyekiti wa CCM anazidi kujiweka karibu na watu wachafu sana kama bashite? Si uthibitisho kuwa na yeye ni mchafu kama nyie?
 
Yeye ndiye Sterling wa hiyo royal tour huko kaskazini na yeye ndiye mvurugaji wa hiyo royal tour kwa kumchagua Makonda, sijui anataka nini, ni royal tour au ni kivuruge tu? anawapa watu wakati mgumu sana wa kumtetea...
Acha uchwa uchwara, amekuambia anataka umtetee?.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Dah!
Haisaidii after samia ni makonda deal with it ndio maana matajiri wanahama nchi
 
Chadema hawana mtaji wowote Hapa, wametuvuruga sana na zile juhudi zao za kuhama chama na kuunga mkono jiwe.

Makonda aje atatue kero kibao ambazo zimekuwa zikitusumbua miaka nenda rudi. Hatutaki tena siasa za kiharakati ambazo zimeturudisha nyuma sana kimaendeo mkoa wetu.

Makonda aje tumpe kero zetu za ardhi, vibanda vya biashara stendi ndogo, kukatika umeme, maji, kutokuwa na stendi ya mkoa yenye hadhi ya jiji na mengineo kibao naamini ana uwezo huo wa kuzitatua na kuacha alama kubwa hapa Arusha.
Tulia bwana mdogo
 
Bifu la makonda na mabeberu ni kwenye ushoga na sio hayo mengine.
Arusha ni kitovu cha wasagaji nchini akalitazame na hilo
Yaan Makonda awe na bifu kwa mabeberu kisa gays? Hata yeye ukimuuliza atakataa, iko 7bu nyingine kabisaa.
 
Mama Samia wala hajali kuhusiana na Hilo, anachowaza yeye anafikiri ni namna gani Bashite ataenda kumdhibiti Lema ubunge 2025 bila kujua atakuwa amemrahisishia Sana Lema njia ya kupita, kwa Lema Makonda ni mtaji mkubwa sana kwa SIASA za pale Arusha.

Lema ushindwe mwenyewe Tu tiyari umeachiwa goli wazi
Kabisa.
 
Yaani Wewe bado unaziamini taarifa za Wazungu Waliotutukana kwamba Waafrica walitokana na Nyani, Waligundua Ziwa victoria, Waligundua Bahari ya Hindi n.k.
Unawaamini Wazungu ambao Wakikuta Mtu anauzalendo kwa nchi yake Wanamwita Dikteta ili Wamchafue na kumuua, Wanampenda Chawa wao, Wanatufundisha kukalili maandishi wakati wao Wanafundishana kubuni vitu kwa ajili ya uchumi wao, Wanapenda Mapenzi ya Jinsia moja ili kuupoteza uzao wa Waafrica.
Nb: kama unawaamini Wazungu jipime akili. Ila Wapo Wazuri asilimia kubwa hawataki Waafrika tuishi na tupendane
Natumaini wewe si muumini wa mojawapo ya hizi dini za wazungu/waarabu..
 
Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
Ni swali la msingi tafadhali mama Samia tupe majibu.
 
Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
Hapo sasa,CCM NI JANGA LA TAIFA HILI
 
Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
You guys bwana, marufuku amepigwa marekani tu, wakikutana nae ardhi nyingine ni sawa, na watakutana nae. Simple as that
 
Kwa nini mwenyekiti wa CCM anazidi kujiweka karibu na watu wachafu sana kama bashite? Si uthibitisho kuwa na yeye ni mchafu kama nyie?
Kwani bashite alikuchafua?
 
Yeye ndiye atakayewapokea na watalazimika kufuata zote za nchi kutoka kwake, wao ndiyo wanaomtihumu, lkn siyo sisi.

Sheria zetu zipo wazi, mwenye tuhuma 1-2-3, haruhisiwi ktk 1-2-3, makonda mpk hapo alipo, ni kwa7bu hana 1-2-3. Wazungu usiwafanye kama miungu, pamoja na machaaaache mazuri, lkn wana mengi (ya wazi na ya siri) yenye kukuumiza wewe muuza madafu.

Makonda anatuhumiwa, lkn joji bush amefanya mauaji Iraq, na usijisahaulishe mauaji aliyoyafanya marekani nchini Syria, Libya na somalia, achilia mbali anayoyafanya netanyahu pale Gaza, eti mkihljihalalishia kwa kisingizio cha alichokifanya Hamas oct 7.
Makonda ndiye mkuu wa mkoa wa ARUSHA, hatuwezi kufanya mambo yetu kwa kufuata utashi wa magharibi. Mbona sisi hatuingilii teuzi za viongozi wao wa ndani?

JIKOMBOE MUAFRIKA, ACHANA NA UTUMWA WA KIFIKRA
 
Yaan Makonda awe na bifu kwa mabeberu kisa gays? Hata yeye ukimuuliza atakataa, iko 7bu nyingine kabisaa.
Alianzisha kampeni ya kuwashughulikia mashoga akawauzi wazee wa suti nyeusi wakampiga ban
 
Back
Top Bottom