Yeye ndiye Sterling wa hiyo royal tour huko kaskazini na yeye ndiye mvurugaji wa hiyo royal tour kwa kumchagua Makonda, sijui anataka nini, ni royal tour au ni kivuruge tu? anawapa watu wakati mgumu sana wa kumtetea...Mama Samia wala hajali kuhusiana na Hilo, anachowaza yeye anafikiri ni namna gani Bashite ataenda kumdhibiti Lema ubunge 2025 bila kujua atakuwa amemrahisishia Sana Lema njia ya kupita, kwa Lema Makonda ni mtaji mkubwa sana kwa SIASA za pale Arusha.
Lema ushindwe mwenyewe Tu tiyari umeachiwa goli wazi
Maza kaharibu snMakonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
😃😃🤣Yeye ndiye Sterling wa hiyo royal tour huko kaskazini na yeye ndiye mvurugaji wa hiyo royal tour kwa kumchagua Makonda, sijui anataka nini, ni royal tour au ni kivuruge tu? anawapa watu wakati mgumu sana wa kumtetea...
Ungekuwa jela wewe mtoto saizi ndukum yako ingekuwa kama ya temboMakonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
ACHENI MAJINGU HAYO ANATU8HUMIWA NA NANI?Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
KAMA.WAMEMPA BAN HATA WATALIII.WAO WAPIGWE .MARUFUKU KWENDA HUKOMakonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
Tripadvisor waweke angalizo kwa watalii wanaopanga kutembelea arusha,yule aliyetajwa kunyima watu haki ya kuishi ndiye mkuu wa mkoa huo,pia ndiye mkuu wa vikosi vyote vya usalama pamoja na majeshi yote, marekani wanafiki sana.ACHENI MAJINGU HAYO ANATU8HUMIWA NA NANI?