kwa yanayoendelea Tanzania yanasikitisha sana,tena ukitegemea wanayoyapromote ni viongozi walioko selikarini pamoja na chama cha CCM
Ukiangalia waasisi wa hiki chama walikuwa watu makini sana kuwatengeneza vijana ambao ndiyo viongozi wa sasa, lakini wenyewe wamegeuka kuwa waharibifu kwa vijana ambao ndiyo taifa la kesho,mfano angalia ujinga unaofanywa kila siku kwa mgongo wa CCM,
Naamini ile Tanzania iliyokuwa inatajwa kwa misimamo yake imara ya Nyerere inaenda au imeshakuwa ni taifa la aibu, hata kujitambulisha kusema mimi ni raia wa Tanzania imekuwa aibu, maana wameanza kuzarauliwa viongozi wetu mpaka raia,afadhali kipindi kile Magufuli alituheshimisha lakini siyo kwa ujinga unaondelea hivi sasa,
Inasikitisha sana,hamna cha wasomi, Viongozi wa dini wala nani,tumegeuka kama inchi ya kusadikika