Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Ni kawaida kwa Arusha hata buguruni au riverside panapazid Arusha kwa nyakati za usikuArusha mafala sana nina branch yangu ya biashara kule kila niiienda saa 2 mjini watu wameisha wamelala ubwege gan huo? Mkoa wa kifala sana
Hata ukienda u.k London ndo kila kitu, same kwa France paris ndo kila kitu na ndo matajiri wengi wanaishi uko, ukienda south Africa Johannesburg ndo kila kitu, ukienda marekani new York city ndo mpango mzima Sasa nakushangaa wewe unaposhangaa dar es salaam kuwa kitovu kwa TanzaniaLi nchi li kubwa hivi halafu Ka mkoa kamoja ndio kamechangamka , tuko nyuma sanaaaa.
Jishangae wewe Kwa hoja yako. Nasisitiza tena tuko nyuma sanaaa. Uko U.k ,France, south A au USA yote yanayoitwa majiji ndani ya hiyo nchi karibia yanafanana kuanzia miundo mbinu na huduma za kijamii wakati sisi hapa ni hamna Kitu.Hata ukienda u.k London ndo kila kitu, same kwa France paris ndo kila kitu na ndo matajiri wengi wanaishi uko, ukienda south Africa Johannesburg ndo kila kitu, ukienda marekani new York city ndo mpango mzima Sasa nakushangaa wewe unaposhangaa dar es salaam kuwa kitovu kwa Tanzania
Ndio kila kitu nini? usifananishe nchi za watu walioendelea na nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania. Hata kisoka tuu England timu maarufu na kubwa hazipo LondonHata ukienda u.k London ndo kila kitu, same kwa France paris ndo kila kitu na ndo matajiri wengi wanaishi uko, ukienda south Africa Johannesburg ndo kila kitu, ukienda marekani new York city ndo mpango mzima Sasa nakushangaa wewe unaposhangaa dar es salaam kuwa kitovu kwa Tanzania
kwa sasa nimebakiza sehemu mbili tu za tz, mkoa wa rukwa na kisiwa cha pemba.Hongera kwa kuzinguka Tz ila kuna mikoa sijaiona ukiwa umefika kwenye Google Map,
That's good huo ndio utarii wa ndani inabidi tutembee maeneo tofautikwa sasa nimebakiza sehemu mbili tu za tz, mkoa wa rukwa na kisiwa cha pemba.
maeno mengine nikifika huwa nasahau kuwasha GPS, ndio maana timeline yangu ya google map haionyeshi kama nimefika.
mwezi may nilikuwa kigoma, ilikuwa ndio mara yangu kwanza kufika mkoa huo.
the trip from tabora to kigoma was amazing and adventurous since i traveled by road.
nilikaa kigoma siku chache na kugeuza. bahati mbaya nilisahau kuwasha GPS.
Mkuu mikoa yote watu ikifika saa mbili wanaenda kulala majumbani kwaoArusha mafala sana nina branch yangu ya biashara kule kila niiienda saa 2 mjini watu wameisha wamelala ubwege gan huo? Mkoa wa kifala sana
Hizo huduma za masaa 24hrs ulizozitaja zinapatikana katikati ya mji au ata mitaani? Mfano Dar Sinza, kinondoni, Magomeni, Tabata watu hawalali mpka asubuhiNaona mnajidanganya. Uwe unataka kwamba kwenye mji Fulani, ilikika saa mbili maduka yote na migahawa yote na pharmacy zote vinafungwa. Ukisema mkoani nami nipo mkoani na Kuna migahawa ipo open masaa 24, Kuna pharmacy zinauza masaa 24 Mimi hapo sikuelewi.
Kigamboni ndiyo kuna miji mipya ardhi zinauzwa kwa mipango miji we unaiponda kigamboni ? Kweli wa kijijiniKigamboni na temeke yooote, yooote kunguni wamejaa mpaka wanatembea kufuata Barbara.
Nimeka dar 22 years, hicho mnachokisifu sikioni
Joto lipo huko?mkuu zaidi ya fly overs na bahari kuna nn kingine hakipo arusha?
Hao wa Arusha ndio wanaochuma hapo Dsm na kujenga kwaoSubiri waje washamba wa Arusha wanavyotoa povu
Hao wavulana wa kiswahili wanavyosifia sasa[emoji23]Dar imekuwa overrated kinyama
Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Kuna mahali umesema Dsm ni rahisi kupata mchongo wa Mil 50.Unaelewa maana ya harakati? Wapi nimetaja fly over au bahari...jikite kwenye point mkuu...sehemu rahisi kutoboa ukiwa na connection sahihi ni DSM...na DSM ndo Tanzania mzee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
That's our life, we do that Day & NightSiku utakayotoka nje ya DSM na kukutana na watu wa mikoani ndo utaja elewa..yani upate exposure ya mikoani halafu uwe na harakati za kutoka..utaja elewa...
Nyie vijana wa Dsm mlichojaliwa ni maneno mengi na michambo kama mama zetu tu.Ni kweli nilipata demu Arusha nilikuwa namtoa pesa akawa anashangaa pesa yenyewe ndogo tu, akawa anasema vijana wa kwao Arusha kukupa 5000/= Ni ngumu wana roho ngumu kwenye kutoa akasema Dar unaweza kumuomba mtu pesa akakupa tofauti na kwa Arusha unaweza kuuwawa kwa ajili ya 5000 tu uliyokopeshwa.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app