Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

5. Kupendeza ni jambo jepesi kuliko kutopendeza Kila sehemu zinauzwa nguo tena latest kwa cheap price. Mimi katika maisha yangu sikuwahi kuwa na nguo begi mbili lakini Dar es salaam mtu ambaye ni Jobless ana mabegi 5 ya nguo.
Maajabu ya jobless wa Dar ni pale unapendeza mwili wakati mind iko nyakanyaka!!
 
[emoji4][emoji4] Kwa Tanzania DSM ni hub, mikoa mingine bado sana kwa DSM. DSM kama una connection na good character unafika mbali mitandao ya pesa ni mingi sana, ni ku tune frequency zako
tatizo la watu wengi wanaishi dar wengi wao wanadhiki sana lakini kwa kujikweza utadhani wamewekeza kumbe wavimba macho tu kulala saa 7 usiku kuamka saa 11 asubuhi mashisha yao kwenye dala 5 kipato chao kinaishia kwenye nauli na kodi ya nyumba na kula tu huku miaka ikienda mbio ila kwa kujikweza wanaweza
 
Unaelewa maana ya harakati? Wapi nimetaja fly over au bahari...jikite kwenye point mkuu...sehemu rahisi kutoboa ukiwa na connection sahihi ni DSM...na DSM ndo Tanzania mzee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hiyo ni kweli lakini wengi walihamia dar wakdhani watatoboa wakishia kugombadia usafiri wa daladala
 
harakati gani zitaje...

hakuna biashara yoyote inayofanyika dar na arusha isiwepo...ndo mana nimesema labda harakati zinazohusu bahari
dar arusha walio wekeza ndio wanao faulu kwa wale wenzangu mimi kila siku ni kusifia walio wekeza na kujikweza kumbe wanaishi uswazi kwa mfuga mbwa
 
Dar es salaam unaweza ukapiga hesabu ndani mwezi umeingiza zaid ya milioni na hauna kazi.
Ukijichanganya vizuri na watu Dar kuna pesa nyingi sana.
kwa vijana wasio jua maisha ya dar na utafitaji wake utawadanganya lakini ss utudanganyi
 
wewe dar umewekeza nn?
 
Mikoani ukiwa huna pesa basi jua huna namna ya kuchomoka.

Hakuna Dili, pesa haizunguki nyie acheni tu
wewe sio mfanya biashara unapo sema hela mikoani haina mzunguko huo ni mkoa gani? hiyo pesa isiokuwa na mzunguko ni sh ngapi? hayo maduka ya kiriakoo yanategea watu gani wateja wao?hayo magodauni ya tandika ya mchele na maharagwe yanategemea wapi? mabibo buguluni ilala temeke hayo masoko bizaa zinazwo uzwa zinatoka wapi? kiwanda cha wazo sumiti kiauza wapi sumeti yake nondo endela kujidanganya heti mikoani hakuna mzunguko kume akili yako ndio isiozunguka
 
ebu tupe njia kwa mtu abae hana mtaji jinsi anavio weza jikwamua akiwa dar
 
kazi yako kuwasifia watoto wa mawaziri wasitafu wanaoishi mbizi bichi masaki ositabei huku ukilala saa 6 usiku nakuamka saa 11 asubuhi kuwai daladala
 
Pesa za hivyo ni za WIZI na nyingi zinatokana na upigaji kwenye vyanzo vya pesa za serikali a.k.a kulamba asali.
Enzi za jiwe watu wa aina hii walikimbia mji.
vijana wengi wakibongo kazi kusifia walio fanikiwa ukimwambia akupe njia wakupata hela hizo anaigia mitini
 
DSM ndio maisha yalipo na ndipo connection za maisha zilipo na hii ni almost kwa majiji yote ya kibiashara Duniani anzia New York, London,Tokyo shuka mpaka Jozi kwa madiba,Lagos Nigeria mpaka Mzizima yetu.
tupe njia za kupata hela huko dar
 
Niliwahi kuishi dar..........nilichojifunza dar watu wengi wanapoteza muda,
umepatia kabisa,naongezea unakuta mtu anaishi mbagala anafanyia kazi kawe kulala kwake saa 7 kuamka saa 11 asubuhi kipato chake chote kinaishia kwenye nauli na kodi ya nyumba akibatika kujenga anajenga mabondeni maji shida hata pikipiki aifiki kazi yao kubwa jujikweza na kuwa sifia matajiri na waizi wa serikalini
 
Dar na Arusha. Sio dar pekee yake. Mtu wa Arusha hashtuki na Dar. Mikoa mingine sawa.
 
Sawa arifu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mshamba wa AR chuga niko hapa.Hebu njoo nikupeleke kwa Mromboo.Huku sisi hatuuzi nyama kwenye vijiti ni kwa kilo halafu upaki hilo gari lako kizembe hapo Dar tunalileta huku tunalichinja au ndani ya saa moja unaweza kutana na gari yako na usiijue.
 
Maisha yakikupiga Dar ni afadhali yakupige Mbeya, Mwanza, Arusha. etc
2. Ile interaction ya kukutana na watu wa aina tofauti inakufanya uchangamke na uwe extra care maanake unajua ukizubaa umepigwa.
Competition ni kubwa sana Dar es Salaam
Magonjwa ya zinaa ni mengi, pia magonjwa mengine makubwa (pandemics) kama COVID huathiri sana hapo
Quality ya chakula Dar sio nzuri, vyakula vingi si fresh kama ilivyo vinapotokea
5. Kupendeza ni jambo jepesi kuliko kutopendeza Kila sehemu zinauzwa nguo tena latest kwa cheap price. Mimi katika maisha yangu sikuwahi kuwa na nguo begi mbili lakini Dar es salaam mtu ambaye ni Jobless ana mabegi 5 ya nguo.
Pia nguo huchakaa mapema kwasababu ya joto na jasho. Nguo nzuri zipo kila mahali uwe na pesa tu
Mwisho Asante sana shemeji kunifukuza kwako ila just believe me next year nitakuwa huko kuanza maisha yangu Mimi kama BabaMorgan. Tena usije ukashangaa nimepata apartment Posta afu wewe utabaki huko huko kwenye Panyaroad.
Joto, uhaba wa maji, foleni za magari, uhalifu mkubwa, uchafu wa mazingira hufanya maisha Dar kuwa magumu kuliko sehemu nyingi nchini.
 
Sio povu wanasema ukweli wao. Mbona Dar uswahili, ujinga na umasikini ni mkubwa. Watu wengi afya mbovu, lishe duni.
Miaka 5 iliyopita nilifika Sijui Temeke/Tandika foma ndani ndani huko mchana wa saa 7, hali ilikuwa inatisha. Umasikini umetamalaki, inakatisha tamaa, watoto wao kukimbilia South wala siwalaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…