Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Maajabu ya jobless wa Dar ni pale unapendeza mwili wakati mind iko nyakanyaka!!5. Kupendeza ni jambo jepesi kuliko kutopendeza Kila sehemu zinauzwa nguo tena latest kwa cheap price. Mimi katika maisha yangu sikuwahi kuwa na nguo begi mbili lakini Dar es salaam mtu ambaye ni Jobless ana mabegi 5 ya nguo.